Mchezo wa WAHAPAHAPA.

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,756
Reaction score
31,117
Mwaka 2010 kuna mchezo wa radio ulivuma sana uliitwa WAHAPAHA.Nautafua series zote kama kuna mtu anaweza upata au anajua namna ya kuupakua anijulishe plz.
 
Mwaka 2010 kuna mchezo wa radio ulivuma sana uliitwa WAHAPAHA.Nautafua series zote kama kuna mtu anaweza upata au anajua namna ya kuupakua anijulishe plz.

Huu mchezo ulikuwa ni mzuri kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…