mchezo wa ku bet

Mkuu
Taifa lilishapotea tangia 99'.. Yaani kama Mh. Maghembe ana bet, unafikiri hawa vijana watafanya nini...!

samahani.mkuu magembe alisema mwnyewe ana bet au.stor za vijiwen
 
Mkuu
Taifa lilishapotea tangia 99'.. Yaani kama Mh. Maghembe ana bet, unafikiri hawa vijana watafanya nini...!

Hii sijawahi kuisikia, kama ni kweli basi hata elimu haitukomboi!
Taifa linahitaji mkombozi!
 
Safi sana...... vijana wanasuka mikeka.......wew nani kakuambia maendeleo hayaji kwa kubeti? Shauri zako bongo hii
 
Hii kitu mbaya sana. Vijana wanakimbilia huko, tunapoteza taifa!;vijana wanafikia hatua ya kukwapua ili aende kubeti!
Kuna mambo ya kushabikia kwa hili tunapotea!

Hawajaelewa sheria za betting hao washakua walevi.
 
Hawajaelewa sheria za betting hao washakua walevi.

Hii michezo wanaweza ulaya na nchi zilizoendelea tu , watu ambao pesa si issue sana. Huku kwetu watu wanafanya betting kama kazi ya kuwaingizia kipato hapo ndio shida inapoanzia.
 
Mm ni agent wa premier betting hapa mwanza nakushangaa unasema nibaya wakati kila siku naingiza si chini 21,000 kwa siku sasa piga hesabu kwa week af eti unasema mbaya wewe vipi wewe. πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Wenyewe wapo busy kama wanafanya apitude/writen interviev ya sekretariat ya ajira.
 
mibongo imekua mivivu ya kufanya kazi, imebaki kutafuta mteremko, ikitoka apo ni viroba na ngono
 
mibongo imekua mivivu ya kufanya kazi, imebaki kutafuta mteremko, ikitoka apo ni viroba na ngono

ndo titzo la hela za kamari yaani kufanyia maendeleo ni mara chache saaana
 
Vijana wameshika kalamu sawasawa wakati kuna Uwezekano mkubwa walikimbia shule
 
natamani sana kujifunza huu mchezo ila siujui jamaangu ali bet game ya man u na manshit katoa mkeka mmoja aliweka laki kapiga pesa mpka nimeogopa....naomba kuujua huu mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…