mchezo wa ku bet

Watu wanajisomesha hadi shule kwa ajili ya kubet... Ukiona pana moshi ujue pana moto.. Mkuu faida ipo
 
maendeleo hayaji kwa ku-bet

Ingawa sikupingi mkuu, lakini I will have you know kwamba ada yangu ya mwaka wa pili chuo nilipa kwa hela ya betting..what happened ni kwamba ilifika one day before deadline na mimi nikiwa na buku 60 mfukoni out of 800,000 niliyokuwa nadaiwa kumalizia ada...

baada ya njia zote za kuingiza hela kuonekana zimeziba nilienda kuibetia hiyo hela (haikuwa mara ya kwanza though) nilitengeneza mikeka minne ya buku 10 each na believe me mikeka miwili iliniingizia kiasi cha shilling 718,000..kumalizia iliyobaki ilikuwa rahisi baada ya hapo. Kuweza kumaliza chuo kwangu ni maendeleo


so it is a mixed situation..kuna ambao wameendelea kwa kubet mkuu
 
watu wananunua bajaj na bodaboda......hiyo laki tatu yako unayolipwa kwa mwezi watu wanaingiza kwa dk tisini.....!!!
 
Hii kitu mbaya sana. Vijana wanakimbilia huko, tunapoteza taifa!;vijana wanafikia hatua ya kukwapua ili aende kubeti!
Kuna mambo ya kushabikia kwa hili tunapotea!
 

ckatai tatzo cku hiz vjana hawataki tena kaz na hawataki tena kusoma wanaona beting ndo kila kitu sasa hii kitu ikifa cjui itakuwaje
 
ckatai tatzo cku hiz vjana hawataki tena kaz na hawataki tena kusoma wanaona beting ndo kila kitu sasa hii kitu ikifa cjui itakuwaje

Hapo nimekusoma mkuu...wanapoteza dira hao..hii inatakiwa ifanywe kama game most of the time...sio kama investment
 
Hao watu kama wapo darasani jinsi wanavyosoma
 
Mm na bet timu nne tu...napiga chabo mikeka ya watu kumi..natengeneza sample yang...daily nakula elf 50 nikiweka10
 
Hapo nimekusoma mkuu...wanapoteza dira hao..hii inatakiwa ifanywe kama game most of the time...sio kama investment

Serikali ishakiri kuwa ajira ni tatizo,wewe unasema vijana hawataki kazi wakati hapo wamejiajiri!Acha watu wale pesa ya Muhindi.
 
Serikali ishakiri kuwa ajira ni tatizo,wewe unasema vijana hawataki kazi wakati hapo wamejiajiri!Acha watu wale pesa ya Muhindi.

mkuu si kweli kwamba hamna ajira kihivyo ila elimu na ujuzi pia ni tatizo ndo.maana utaona wakenya wameajiriwa san bongo tatzo hawa vjana hawana ujuz wowte na hawataki kazi zaidi ya kubet kupata hela ya starehe na kulala ww ulickia wapi taifa gani dunian limeendelea kwa ku..bet?
 
Betting inatakiwa kuwa burudani, kama passtime fulani hivi ya kumpa mtu thrill.

Sasa watu wameigeuza ajira na chanzo kikuu cha fedha.
 
Mm na bet timu nne tu...napiga chabo mikeka ya watu kumi..natengeneza sample yang...daily nakula elf 50 nikiweka10

sasa wewe unaelekea kuwa mtaalamu..beti inayoleta matokeo ni buku 5 kwa kutengeneza 35..na buku 10 kwa 50-67...kwa idadi ya timu 4-6...cheza humo ukimiss njoo nikurudishie hela
 
Hii kitu mbaya sana. Vijana wanakimbilia huko, tunapoteza taifa!;vijana wanafikia hatua ya kukwapua ili aende kubeti!
Kuna mambo ya kushabikia kwa hili tunapotea!

Mkuu
Taifa lilishapotea tangia 99'.. Yaani kama Mh. Maghembe ana bet, unafikiri hawa vijana watafanya nini...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…