we bwege kwani unapompga mtu force ina maana wewe huli ila mwenzako anakula anaingia kingi sasa akishaingia kingi ndo anakwambia umvishe kingi yake kwanza ndo acheze kipindi hiko wewe huna kete ya kumvisha sijui kama umeelewa kibonde,kama upo dar watafute mangwelele,nduli, ronaldo juma mchafu na mafundi wengine wakwambie kama upo mr mtafute r-dini,dickson gumbo au nenda juwata ukaone mafundiKama ni force kingi lazima mpinzani ale kete ili aweze kuingia kingi na wewe uiue kingi yake
Sijui inawezekanaje kufika kingi bila mwezio kula hata kete moja na hata ikitokea hakuna hana ya kuvisha kingi mpaka hapo game litakuwa limeisha
Hii ni kwa wale wajubaaa tyuu kwa matutusa hamuwezi kuelewa
hii page wengi mmeanza kucheza bao miaka mitano iliopita tena mambao ya ridhaa tu so hamjaona mengihamna iko kitu
wewe jamaa jembe sana sema kuna vibonde wengi sana humu hawajawah kutana na hio issue mi nlipiga mtu force jamaa akagoma kucheza mpk avishwe kingi yake game iliisha hapohapo, watoto wa juzi haya mambo hawayajui kabisaAwali nilkuwaga sijui kuhusu hiyo sheria, nilmpiga mpinzani wangu fosi kingi ya maana wakati sote tukiwa na kete zote kumi na mbili kwa sababu sikuwa nimekula kete yake hata moja nikakosa ya kumvalisha kingi yake mpinzani akagoma kuendelea na mchezo akidai king yake itambuliwe na mchezo ukaishia apo! Kwa maana hiyo mpinzani wako akifika king ba we hujala kete yake hata moja anakuwa ameshinda kwa sheria za mchezo wa draft
Basi utakuwa hufahamu vema mchezo huo. Ukipiga force king, Kuna Chance kubwa sana ya kukosa kuvalishaDuu nimekaa Na draft hapa nimeangalia sana lkn haiwezekan mpinzani asile hata 1 kabla ya we kufika kingi maana hutapata njia
Brother nilitaka nimtolee mfano huo huo. Anakupa kete tatu halafu anataka kukupiga force ili aue king unatakiwa umwambie nivishe hana ya kukuvisha ni goli. Ushashinda. Hii kitu nilipewa na Nduli, dogo janja, Sir bedui, Noeli, John Kipaji na Mangulele. R.I P Mangulele bingwa wa draft. Sema alikuja kupinduliwa na vijana akina NDULI na NOELhapo jibu ni moja ikitokea umeingia king na mpinzan wako hana kete ya kukuvisha basi utakua umeshnda game, kwa wale wazoefu watakua wanajua kuna force king watu huwa wanaipiga mwanzo mwanzo wa game mkicheza zile game za kubanana hamjalana kete hata moja basi unamwachia ile force mtu asiejua apige akipiga tu basi akikwambia kula huku unamwambia nivishe kingi kwanza basi anabaki anashangaa tu....so mkuu kama huna kete ya kuvisha king wa mwenzio umefungwa
Kama hamjui. Lakini kama mnajua kuna copy moja ikichezwa mtu anatamani akupige force king. Basi akikupiga tu unamwambia nivishe. Hana ya kukuvisha basi goli umemfungaDuu nimekaa Na draft hapa nimeangalia sana lkn haiwezekan mpinzani asile hata 1 kabla ya we kufika kingi maana hutapata njia
Anakupa unakula zake 3 halafu unaingia king. Halo sasa unamwambia akuvishe. Hana basi ushashindaTena Force King ndio haiwezekani,
Maana lazima umpe yeye ale kete yako ili umvute kwenye 18 zako ndio umkule mpaka King.
Hivi ki ualisia tu kila mtu ana kete zake 12 zilizokaa upande wake, mtapishana pishana vipi mpaka ufike King bila kulana aisee? Labda nikuulize swali, unasema inawezekana wewe kutoliwa mpaka ukafika king, je na yeye atakua pia hajaliwa?
hahahaa noeli,bedui,nduli hao watu hatali sana aisee kumbe mangulele alishavuta? dg janja simkubali sana nliwahi kupiga mpk akatoka nduki ila nduli daah yule naye ni shetanBrother nilitaka nimtolee mfano huo huo. Anakupa kete tatu halafu anataka kukupiga force ili aue king unatakiwa umwambie nivishe hana ya kukuvisha ni goli. Ushashinda. Hii kitu nilipewa na Nduli, dogo janja, Sir bedui, Noeli, John Kipaji na Mangulele. R.I P Mangulele bingwa wa draft. Sema alikuja kupinduliwa na vijana akina NDULI na NOEL
Unajua draft inaishaje kweli mkuu au hulijui???? Draft haliishi kwa wewe kushindwa kumvalisha King mpinzani wako bali mpaka pale amabapo either kete zako zote zimeliwa au zipo sehemu ambayo haziwezi kucheza la sivyo ukicheza tu zinaliwaLabda nisema hivi.. mi nakupa wewe ule ili uingie kingi ili baadae ukishaingia kingi niiue king yako.. so nimekupa umekushakula na tayari umeshaingia king sas mimi nakosa kete ya kukuvisha king yako, ndo hapo game inapoisha.. maana nakuwa sina kete, nilikulisha wewe kete ili uingie king then niue king yako.
Mkuu we bado mwanafunz, hili suala limekuzid kdg kiwango.. nenda kwenye vilinge vikubwa vya wacheza draft utalikuta hiloUnajua draft inaishaje kweli mkuu au hulijui???? Draft haliishi kwa wewe kushindwa kumvalisha King mpinzani wako bali mpaka pale amabapo either kete zako zote zimeliwa au zipo sehemu ambayo haziwezi kucheza la sivyo ukicheza tu zinaliwa
Pole sanaUkiskia mchezo amabao umenishinda
N huu wa draft hua c uelewi
kabsa nmejitahid kujifunza nielewe
Lkn wap
Cjui hata unaazia wap na kuishia
Wap
[emoji122][emoji122][emoji122]Uwezekano wa wewe kufika King huku ukiwa na kete zako zote 12 full ni mdogo mno, labda uwe unacheza na mbumbumbu,
Kuna sehemu lazima umpe ale (umtege) ili akijaa mbele yako ndio uingie King.
Lakini kama theory tu na sio uhalisia basi kama mnatumia visoda itabidi tu ugeuze kisoda chako kilichoingia King ili kitofautiane na kingine
French draft unakula mbele na nyuma hata bila kingNapenda kufika king unakula mbele na nyuma
Wakiboya sana huo game inaisha mapema sanaFrench draft unakula mbele na nyuma hata bila king
Yes,Draft hilo hapo... Ukicheza move ya pili ili nikukule... kete yangu lazima ikakae sehemu ambayo lazima utakula yangu...
nna miaka zaidi ya 20 nacheza huu mchezo na sijawai kukutana na scenario ya hivyo aseehii page wengi mmeanza kucheza bao miaka mitano iliopita tena mambao ya ridhaa tu so hamjaona mengi
Ni mzuri sana na mgumu, unaisha mapema kama mmoja hajuiWakiboya sana huo game inaisha mapema sana
Inawezekana basi mkuu ila mm huwa siuelewi kabisaNi mzuri sana na mgumu, unaisha mapema kama mmoja hajui
basi hujawah cheza kwe kiwango cha juu brother,wanaopiga mbao kisawasawa kwa miaka yote lazima ukutane na hio situation ingawa ni maea chache sana mi nmeanza kucheza 2004 lkn nmekutana nayo mara mbili tu,ya kwanza nlifungwa ya pili na mm nkamfunga jamaa nlimkomalia avalishe kingi yangu akabaki katoa macho tunna miaka zaidi ya 20 nacheza huu mchezo na sijawai kukutana na scenario ya hivyo asee