M4TYDACLEVER
Member
- Jun 8, 2013
- 86
- 44
Simple sana huo...Ukiskia mchezo amabao umenishinda
N huu wa draft hua c uelewi
kabsa nmejitahid kujifunza nielewe
Lkn wap
Cjui hata unaazia wap na kuishia
Wap
usikate tamaa cheza mara kwa mara hasa baada ya shuguli zako hasa cheza na wale wanao jifunza kama wewe usicheze na mafundi watakuvunja moyo pia penda kutazama wanavyocheza nissan rahis tu.Ukiskia mchezo amabao umenishinda
N huu wa draft hua c uelewi
kabsa nmejitahid kujifunza nielewe
Lkn wap
Cjui hata unaazia wap na kuishia
Wap
usikate tamaa cheza mara kwa mara hasa baada ya shuguli zako hasa cheza na wale wanao jifunza kama wewe usicheze na mafundi watakuvunja moyo pia penda kutazama wanavyocheza nissan rahis tu.
Aiseee Ahsante wakuu ngojaSimple sana huo...
Uwezekano wa wewe kufika King huku ukiwa na kete zako zote 12 full ni mdogo mno, labda uwe unacheza na mbumbumbu,ndugu zangu wapenda mchezo wa draft kuna sheria inachanganya watu wengi sana katika mchezo huu. swali liko hivi.
je itakuaje endapo utafika king halafu mpinzani wako hana/hajala kete hata moja ya kukuvalisha hiyo king nawakati huo unataka kuitumia hiyo king?
Hii ni kwa wale waliobobea katika mchezo huu wa draft na hata kama sis mchezaji lakini sheria waweza kuzijua toad mchango wako, lengo nikueleweshana watu wazijue sheria ili kuondoa mabishano na mikanganyiko katika mchezo huu pendwa.
Pia waweza changia kwa kudondosha sheria zingine kwa lengo la kuelimishana zaidi.
umesomeka mzeehapo jibu ni moja ikitokea umeingia king na mpinzan wako hana kete ya kukuvisha basi utakua umeshnda game, kwa wale wazoefu watakua wanajua kuna force king watu huwa wanaipiga mwanzo mwanzo wa game mkicheza zile game za kubanana hamjalana kete hata moja basi unamwachia ile force mtu asiejua apige akipiga tu basi akikwambia kula huku unamwambia nivishe kingi kwanza basi anabaki anashangaa tu....so mkuu kama huna kete ya kuvisha king wa mwenzio umefungwa
uwezekano upo mzee na huku hatutumii visodaUwezekano wa wewe kufika King huku ukiwa na kete zako zote 12 full ni mdogo mno, labda uwe unacheza na mbumbumbu,
Kuna sehemu lazima umpe ale (umtege) ili akijaa mbele yako ndio uingie King.
Lakini kama theory tu na sio uhalisia basi kama mnatumia vidosa itabidi tu ugeuze kisoda chako kilichoingia King ili kitofautiane na kingine
Duu nimekaa Na draft hapa nimeangalia sana lkn haiwezekan mpinzani asile hata 1 kabla ya we kufika kingi maana hutapata njiandugu zangu wapenda mchezo wa draft kuna sheria inachanganya watu wengi sana katika mchezo huu. swali liko hivi.
je itakuaje endapo utafika king halafu mpinzani wako hana/hajala kete hata moja ya kukuvalisha hiyo king nawakati huo unataka kuitumia hiyo king?
Hii ni kwa wale waliobobea katika mchezo huu wa draft na hata kama sis mchezaji lakini sheria waweza kuzijua toad mchango wako, lengo nikueleweshana watu wazijue sheria ili kuondoa mabishano na mikanganyiko katika mchezo huu pendwa.
Pia waweza changia kwa kudondosha sheria zingine kwa lengo la kuelimishana zaidi.
muulize nguli yeyote wa huo mchezo atakwambia hio situation ipo....mtu yeyote Anayejua draft lazima atakua amekutana na hio kitu au ameona au ameshasikia kuhusu hilo mkuuDuu nimekaa Na draft hapa nimeangalia sana lkn haiwezekan mpinzani asile hata 1 kabla ya we kufika kingi maana hutapata njia
Kwanza Mie sio Mzee,uwezekano upo mzee na huku hatutumii visoda
Unamaanisha draft ya kete ngapi?muulize nguli yeyote wa huo mchezo atakwambia hio situation ipo....mtu yeyote Anayejua draft lazima atakua amekutana na hio kitu au ameona au ameshasikia kuhusu hilo mkuu
uhalisia wa aje unautaka mcheza draft mahiri pia mimi mwenyewe shakutana nayo hipo inatokea zaid kwa kupitia force kingSwali lako halina Uhalisia.
Oh sorry lady, ila hiyo kitu inawezekanaKwanza Mie sio Mzee,
Pili atapita pita wapi mpaka afike King bila kulana kwanza ili kete kupungua na kutengeneza njia?
Tena Force King ndio haiwezekani,uhalisia wa aje unautaka mcheza draft mahiri pia mimi mwenyewe shakutana nayo hipo inatokea zaid kwa kupitia force king
Mkuu inawezakana sana kwa maana wewe kama hujala kete yake ukimpiga force king ili uue king yake na hauna ya kumvalisha hapo mpinzani wako anakuwa kashinda kwa sheria kwa mchezo hauendelei mpaka umvalishie king yakeTena Force King ndio haiwezekani,
Maana lazima umpe yeye ale kete yako ili umvute kwenye 18 zako ndio umkule mpaka King.
Hivi ki ualisia tu kila mtu ana kete zake 12 zilizokaa upande wake, mtapishana pishana vipi mpaka ufike King bila kulana aisee? Labda nikuulize swali, unasema inawezekana wewe kutoliwa mpaka ukafika king, je na yeye atakua pia hajaliwa?