Mchezaji wa Simba wa zamani aifunga Liverpool

Mchezaji wa Simba wa zamani aifunga Liverpool

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,639
Reaction score
3,848
Mbwana Samatta aliyewahi kuichezea Simba aweka historia ambayo haijawekwa Afrika Mashariki na Kati. Aifunga Liverpool.

Liverpool ambayo kwa sasa ndio Club Bora Ulaya na Duniani. Yaani hata Club ya Messi, Ronaldo, Neymar na Mbappe hawajafikia ubora wa Liverpool.

Hongera Simba SC, hongera Samatta.
 
Anaweza piga hat trik ngoja tusubiri
 
Kwahiyo umeona ukisema katoka mazembe hawatakuelewa au?
Ndo zetu hizo, mabondia wote walipokuwa wanaenda kupambana hakuna aliyekuwa anajuwa, lakini waliposhinda tu kila mtu ndo akajuwa kuwa mabondia wale ni wa Tanzania... Yule mchezaji kwenye kombe la dunia wacha tumuhusishe na Tanga...
 
Hata haji manara akiupitia huu uzi ataona aibu kwa umbwiga huu. Naona aibu kwa upimbi huu ulioandikwa hapa. Kunaweza kuwa kuna tatizo mahala
 
Hata haji manara akiupitia huu uzi ataona aibu kwa umbwiga huu. Naona aibu kwa upimbi huu ulioandikwa hapa. Kunaweza kuwa kuna tatizo mahala
Tatizo nini mkuu. Professional football samata kaanza chezea simba
 
Wakati Nonda shabani yupo France ulikuwa bado karanga mbichi itakuwa.
Ninja LA Galaxy hachezi otaligamba hata benchi simuoni najua inakuuma.

Mechi ijayo nitahudhuria tena na nitauliza yuko wapi
 
Historia kaiweka kwa kuwa mchezaji wa kwanza kutokea Tanzania na si A.Mashariki na kati kwani Mkenya Victor Wanyama alishafunga goli dhidi ya Liverpool fc wakati akichezea Spurs.
 
Back
Top Bottom