Kama ni madawa, wangenyongwa tu, miaka 15 ni midogo sana kwa jinsi wanavyotumalizia watoto zetu.
Tulimkosa kumnyonga Riz1 pale China ila tukimkamata safari hii mtalia sana hasa nyie mashosti wake.Kama ni madawa, wangenyongwa tu, miaka 15 ni midogo sana kwa jinsi wanavyotumalizia watoto zetu.
Ulikuwa mzigo wa RizMoko na Kleb.Timu ya mateja hiyooo!Madawa ya kulevya tena?Wangedakiwa china ndio ningefurahi zaid
Hivi hii story huwa ya kweli eeh???Tulimkosa kumnyonga Riz1 pale China ila tukimkamata safari hii mtalia sana hasa nyie mashosti wake.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Tulimkosa kumnyonga Riz1 pale China ila tukimkamata safari hii mtalia sana hasa nyie mashosti wake.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hata awe baba'ko akiuza unga anyongwe tu. Macho-ko-mchuzi ameacha biashara yake?
Ndio nani huyo?Heeh na yeye tena?