Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,059 Apr 15, 2012 #1 View attachment 51769View attachment 51770View attachment 51771View attachment 51772View attachment 51773 Jamaaa anafahamika kama Manute Bol (r.i.p) kutoka Sudan ndo anaaminika mcheza basketball mrefu zaidi kuwahi kutokea katika historia NBA. alicheza miaka ya 80 na 90. inasemekana hasheem thabeet anamfikia jamaa kiunoni
View attachment 51769View attachment 51770View attachment 51771View attachment 51772View attachment 51773 Jamaaa anafahamika kama Manute Bol (r.i.p) kutoka Sudan ndo anaaminika mcheza basketball mrefu zaidi kuwahi kutokea katika historia NBA. alicheza miaka ya 80 na 90. inasemekana hasheem thabeet anamfikia jamaa kiunoni
NdasheneMbandu JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 940 Reaction score 308 Apr 15, 2012 #2 Aisee, hii kali. Sasa akioa mke kutoka misitu ya kongo itakuwaje!!
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Apr 15, 2012 #3 Huyu ngongoti wa kweli
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Apr 15, 2012 #4 Dah jamaa mrefu sana
OTIS JF-Expert Member Joined Sep 7, 2011 Posts 2,252 Reaction score 839 Apr 15, 2012 #5 Hapo center of gravity ipo juu sana. OTIS
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 138 Apr 15, 2012 #6 Huyu anaweza kupaka rangi bati bila kuwa na ngazi.
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 409 Apr 15, 2012 #7 Na vidaladala vyetu vipank sijui kama ataweza kuvipanda huyu jamaa.Mke wake ndhani hajamfaidi kabisa manake busu tu ni ishu kwa jamaa
Na vidaladala vyetu vipank sijui kama ataweza kuvipanda huyu jamaa.Mke wake ndhani hajamfaidi kabisa manake busu tu ni ishu kwa jamaa
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,224 Reaction score 98,761 Apr 15, 2012 #8 Na-stand tall kama hasheem thabeet rhaaaaaa!
Ambitious JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,143 Reaction score 884 Apr 15, 2012 #9 Huyu nadhani hata gari ilitakiwa kuwa custom made kwa ajili yake hiyo miguu ni mirefu mno.
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,568 Reaction score 17,992 Apr 15, 2012 #10 Jamaa akilala usiku itabidi afunge kitambaa chekundu miguuni coz ni hatari! kama gari likizidisha mzigo!
Jamaa akilala usiku itabidi afunge kitambaa chekundu miguuni coz ni hatari! kama gari likizidisha mzigo!
Mwakalinga Bujo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2008 Posts 2,718 Reaction score 1,443 Apr 15, 2012 #11 Du! Jamaa alikuwa mrefu si cha kitoto...
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,059 Apr 15, 2012 Thread starter #12 NdasheneMbandu said: Aisee, hii kali. Sasa akioa mke kutoka misitu ya kongo itakuwaje!! Click to expand... teh..teh..teh atakuwa anambeba juu kama mwanae
NdasheneMbandu said: Aisee, hii kali. Sasa akioa mke kutoka misitu ya kongo itakuwaje!! Click to expand... teh..teh..teh atakuwa anambeba juu kama mwanae
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,059 Apr 15, 2012 Thread starter #13 MadameX said: Huyu ngongoti wa kweli Click to expand... peter Crouch anasubiri
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,059 Apr 15, 2012 Thread starter #14 Erickb52 said: Dah jamaa mrefu sana Click to expand... tena ni zaidi ya sana
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,059 Apr 15, 2012 Thread starter #15 OTIS said: Hapo center of gravity ipo juu sana. OTIS Click to expand... vibaya mnooo
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,059 Apr 15, 2012 Thread starter #16 Mchumia tumbo said: Huyu anaweza kupaka rangi bati bila kuwa na ngazi. Click to expand... jamaa angekuwa anafanya kazi tanesco wala asingepata tabu ya kupanda juu ya mistim
Mchumia tumbo said: Huyu anaweza kupaka rangi bati bila kuwa na ngazi. Click to expand... jamaa angekuwa anafanya kazi tanesco wala asingepata tabu ya kupanda juu ya mistim
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,059 Apr 15, 2012 Thread starter #17 Mzinga said: Na vidaladala vyetu vipank sijui kama ataweza kuvipanda huyu jamaa.Mke wake ndhani hajamfaidi kabisa manake busu tu ni ishu kwa jamaa Click to expand... kwi...kwi...kwi..kwi
Mzinga said: Na vidaladala vyetu vipank sijui kama ataweza kuvipanda huyu jamaa.Mke wake ndhani hajamfaidi kabisa manake busu tu ni ishu kwa jamaa Click to expand... kwi...kwi...kwi..kwi
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,059 Apr 15, 2012 Thread starter #18 Ambitious said: Huyu nadhani hata gari ilitakiwa kuwa custom made kwa ajili yake hiyo miguu ni mirefu mno. Click to expand... jamaa alipokufa watu walipata tabu sana kuhusu jeneza lake
Ambitious said: Huyu nadhani hata gari ilitakiwa kuwa custom made kwa ajili yake hiyo miguu ni mirefu mno. Click to expand... jamaa alipokufa watu walipata tabu sana kuhusu jeneza lake
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,059 Apr 15, 2012 Thread starter #19 Mshuza2 said: Jamaa akilala usiku itabidi afunge kitambaa chekundu miguuni coz ni hatari! kama gari likizidisha mzigo! Click to expand... hah..hah...hah..hah
Mshuza2 said: Jamaa akilala usiku itabidi afunge kitambaa chekundu miguuni coz ni hatari! kama gari likizidisha mzigo! Click to expand... hah..hah...hah..hah
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,450 Apr 15, 2012 #20 Khaaa jamaa mrefu anaweza chota maji kwenye simtank