Mchezaji aliyevunja mwiko wa simba na Yanga

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
402
Wakuu wana JF naomba nijulisheni. Je ni kweli kuwa mchezaji wa kwanza aliyevunja mwiko kwa kuhama timu kati ya Simba na Yanga ni Ezekiel Greyson aliyehamia Simba akitokea Yanga?
 
Said Mwamba Kizotta.
Kaseja

Mkuu nimesema mchezaji wa kwanza katika historia ya Simba na Yanga. waliohama kutoka klabu moja kwenye nyingine katika hizi ni wengi. Nazungumzia mchezaji aliye "kill the jinx" na hasa ukizingatia miaka ya nyuma wachezaji walikuwa kwenye timu fulani kwa upenzi kwa klabu wala haikuwa pesa.
 
Back
Top Bottom