Nimeshamjua aisee.Tokea awali, yaani tokea nianze kuwa na huu mchepuko, nilihisi kuwa unaweza kuwemo humu ila umejikausha tu.
Sasa leo ndo nimegundua kuwa kweli upo humu.
We toto la Kinyakyusa kwa nini unajikausha hivyo? Yaani umeunyuti unajifanya hata JF hujui inafananaje ilhali upo muda wote humu.
Ndo mambo gani sasa hayo ya kuchorana?
Madhali nishajua upo ingawa unajifanya haupo, dawa yako naikoroga.
Ila gademu...uko mzuri kupita maelezo. Toto hata kipele usoni huna. Ngozi nyororo utadhani ya mtoto mchanga.
Hakika unastahili kuwa mchepuko wa Ngabu. Vigezo na viwango vyake vyote umevikidhi kwa zaidi ya asilimia 80.
Kwako naamini nitakuwa mchepuko wa kudumu.
Toto la Kinyakyusa.....unataka kuchapwa wewe eeh[emoji8]
Shikamoo kaka Mtambuzi...Nimeshamjua aisee.
Hilo koloni nililifuatilia likanitosa kumbe mwenzangu unamega toto la Kinyakyusa.
Hongera sana mkuu.
Huku Mwanza siku hizi michepuko inaitwa KIGANGO na mke wa ndoa anaitwa PAROKIA wakiwa na maana Kigango padre anakwenda tu kufanya misa lakini halali hapo but Parokia padre (Paroko) anaishi hapo hapo! watu wana mambo kweli!Kwanini usiupandishe cheo ukawa njia kuu badala ya mchepuko wa kudumu?
hahahah leo na wewe umeandika maneno mengi! hahahahah maana wewe ni mzee wa "interesting..."Tafsiri ya mchepuko ni only kama umeoa au yeye kaolewa
kama wote hamko kwenye ndoa sio mchepuko...muite gf
Watu utawaweza basi kwa maneno!Huku Mwanza siku hizi michepuko inaitwa KIGANGO na mke wa ndoa anaitwa PAROKIA wakiwa na maana Kigango padre anakwenda tu kufanya misa lakini halali hapo but Parokia padre (Paroko) anaishi hapo hapo! watu wana mambo kweli!
Hahahaha hii nimeipenda kwa kweliHuku Mwanza siku hizi michepuko inaitwa KIGANGO na mke wa ndoa anaitwa PAROKIA wakiwa na maana Kigango padre anakwenda tu kufanya misa lakini halali hapo but Parokia padre (Paroko) anaishi hapo hapo! watu wana mambo kweli!
Hahaaa...wewe kweli nadhani ushamjua.Nimeshamjua aisee.
Hilo koloni nililifuatilia likanitosa kumbe mwenzangu unamega toto la Kinyakyusa.
Hongera sana mkuu.
Hahaaa...wewe kweli nadhani ushamjua.
Maana kuna siku moja hivi baada ya kumaliza kukuvutia waya, mara ghafla naye akanicheki kwa WhatsApp kwa kujirekodi sauti na nyuma nikaisikia sauti yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]