Mchepuko wangu ni mtu wa vizinga

ha haha sitai huna pesa
he he! bora nimekosa pesa lkn akili ninazo!! ningekuwanazo pesa ungekubali tayari hiki ni kielelezo tosha cha uchepukaji haya usisahau wanaita kinga😀
 
hizo ndo hasara za michepuko uchwara.....ao tuu.....
 
Maskini wakutupwaaaaa doh! Hata kina bakhresa hawatoi hizo kauli!......Mungu akusaidie.
 
Mwalimu wa tu vyuo twa uchochoroni kama Musoma utalii college anamuita mwenzie Maskini wa kutupa.Hatari sana...
 
Tengeua kauli yako mkuu"DEM NI MASKINI WA KUTUPWA" ...
 
Na wewe wa wapi? ulitaka mchepuko akupe tu papuchi bila kumhudumia. Lipia bills kama vp baki njia kuu michepuko waachie wenye mahelaa
 
Kumng'ang'ania mtu ndo kufanyaje hasa, kila mtu anaishi kwake hiyo sijui inakuwajee
 
Wanaume wengine bwana sasa huku unamwambia nani mbona akikupa k---m yake husem humu unajipigia huko gheto kimyakimya fala wewe lipia huduma hiyo vocha na ped unatupigia kelele na kumuita mwenzio masikin wa kutupwa na wanahonga magar wafanyaje? Kama mchepuko gharama tulia kwa mkeo
 
Weka namba zake za simu hapa tukusaidie majukumu kiongozi
 
Wewe ndo unamngangania ila ubahili ndo unakutesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…