Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Kama mada inavyojieleza
Tangu Jana napokea SMS za malalamiko kutoka kwa mchepuko wangu baada ya kukuta SMS za mchepuko mwenzake kwenye simu yangu
Iko hivi Jana majira ya mchana nilienda nyumbani kwa mchepuko wangu kupata lunch ,sasa wakati nipo busy na kula akachukua simu Yangu ambayo muda huo ilikua bado haijajilock hivyo kaanza kuangalia msg mi nlikua namchora tu
Baada ya dakika kadhaa sura ikabadilika na kuanza kulalamika eti mimi nina michepuko mingine,anadai yupo tayari kushare penzi na mama watoto wangu lakini si na huo mchepuko aliokuta SMS zake
Nimeamua kublock manake kayataka mwenyewe kupekua pekua simu Yangu
ONYO: Simu ya mwanaume ni kama kitunguu ukiiangalia sana utaishia kutoa machozi
End of thread
Buenas tardes
[emoji2398]Sigara Kali