Mchepuko unavyonitesa part 1

Kabla Ya Ushauri Naomba Unijibu Swali Hili.

Lengo Lako Hasa La Kufuatilia Nyendo Au Kupekua Simu Ya Mchepuko Wako Lilikua Ni Nini?.
 
Kufuga mwanamke HAPA mjini mitihani ...nitampatia pesa yeyote Ndani ya uwezo lakini SIO kumuhakikishia matunzo...au kumnunulia Mali isiyohamishika.....au gari ...pamoja na haya Kama Ana akili Nikiwa na mchongo wa pesa nitampatia ......
 
yamekua hayo tena ? rose haachwi sababu ndo amekua akinitibu majeraha yangu japo hajui anatibu nini. namwambiaga kuna mtu kani tapeli pesa zangu.

We bwana kuchepuka siyo deal kiasi iko...mwache Rose aende zake usimzimie mwenzio rizki...
 

uwezekano mkubwa kama umewahi kuogea maji aliyokuandalia kwenye ndoo, aliweka kanguo kake kadogo kabisa humo!
 
Kweli ulipoteza muda wako. Hakupendi huyo. Na rose unampotezea muda miaka mitatu humuoi mbaya zaidi unachepuka.
Not fair at all
 
Hii michepuko mnayoparamiaga?!! Ngoja Rose ajue akuache na huyo aliyekugeuza ATM arudi kwa baba mtoto ndo utajua ufanyaje
 
napendaga sn yawakute km hayo mm noliachwa na boyfriend wangu bila kosa kwa kumitaftia visababu tu kumbe kapata mtu wat goes arohnd comes around subiri mpk ukamuombe msamaha gal wako we 4years umempotezea mda mwenzio kweli
 

Makalio?.......?.... Ahh akili za nanihii wa ....
 

Tulia na rose wako, yeye ndiye mwenye mapenzi ya dhati,

Love your wife material, and dump your material wife.

Mwisho, ikatae ccm na mambo yake yote na hila zake zote.
 
wanawake wa kipind ik drama nying,,uyo she might be taken u for granted,,,hapaswi kukwambia et i said sorry,she is suppose to explain unless ana uhakika amekushika ndo mana anakiburi
 
wanawake wa kipind ik drama nying,,uyo she might be taken u for granted,,,hapaswi kukwambia et i said sorry,she is suppose to explain unless ana uhakika amekushika ndo mana anakiburi


Rose Ni mwanaume?
Kama sivyo yeye Ni wa kipindi gani?
 
These are the things men "DO"

Things Men Do - By James Hardley Chase.

Huyu bwana mdogo atakuwa karogwa. Si bure. Acha aendelee kuwa spare tyre huku akihudumia 100% na " Baba Watoto" anasukuma ngozi kiulani tu.

Kuna vitu huhitaji ushauri wa mtu yoyote. Common sense should prevail na moyo unapaswa kuambiwa uache kiherehere chake na ufanye kazi yake ya kupump damu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…