Daa hata ukiendelea nae jua huo mchezo hatauacha . waswazi wanasema mtalaka hatongozwi , jua tu huyu ni mzazi mwenzie na hujui walianzia wapi . jamaa anakuzidi ufundi labda ndio maana bibie anajisevia mara kwa mara......za kuambiwa changanya na za.......
Kunywa sumu mkuu matatzo yako yataisha
ameni save ka herufi kangu ka kwanza kwenye jina langu basi
We endelea tu, the beautiful we share the ugly we marry..endelea baba
akili yangu haitaki kurudiana nae ila moyo wangu unanisaliti.
mimi sijaoa ila nina mchumba nlie dumu nae zaidi ya miaka minne na tunamatarajio ya kufunga ndoa tumpe jina rose. Kusema ukweli nlikua nachepuka ila kwa umakini sana ili mchumba wangu asijue mpaka siku moja nlipokutana na binti sarah (jina la kubuni) nlimuomba namba ya simu tulikutana kariakoo bahati nzuri wote tulikua tunaishi msasani so nikampa lifti mpk anapoishi, baadae tuka chat nkamuomba tukutane kesho yake narusha sound akaniambia anamtoto na bwana ake amemkimbia so anasaidiwa na mama yake pesa za kulea mtoto hivyo hafkirii mtu kama mimi naweza kua na msichana aliezalishwa tayari.
Maneno hayo yalinifanya nimuonee huruma sana kutokana na uzuri wake nlijikuta natamka maneno "dont worry you have me" nkimaanisha kwanzia siku ile ningekua baba wa mtoto na mme wake pia.
Basi kuanzia hapo nikawa napewa mchezo na alikua anajituma kuliko hata girlfriend wangu wa mda mrefu basi mimi nikadata kabisa, pesa zikahamia kwake msg watsap nachat nae yeye tu girlfriend wangu rose nkaona anaboa akawa tu analalamika "byb ua actin weard nowadays niambie kama umepata mwingine" nikawaga mkali kama pilipili nkawanamtaftia kijisababu tu nimuache.
Maisha yakaenda hivyo kwa kipindi cha miezi kadhaa mtoto nikampenda kama wangu na alikua bibie akilia shida najitoa kweli kweli sasa kibao kilipo geuka ni sarah alipoanza kuniambia kua x boyfriend wake aliezaa nae anataka kumuona mtoto wake hio siku ilikua chungu sana sikuweza kusema hapana basi hio tabia ya jamaa kuja ikazidi, sarah anakaa kwao so sikua na mamlaka sana ya kukataa sema hicho kitu kilikua kinaniumiza sana.
Kuna siku nkaamua kupark gari nje kwao jamaa nlipoambiwa kaja nkaaa sana baadae nkamuona mama sarah anatoka sokoni nliumia sana sababu nlijua jamaa kaspend zaidi ya nusu saa akiwa na sarah uwezo wa yeye kumgegeda ulikua mkubwa sana basi nkamind sana nkatuma msg moja kali sana kwa sarah baadae alinitext tukutane nlipoenda akaniambia uhusiano kati yake na ex wake ni wa mtoto tu na wasingeweza ku ...... Kwakua mtoto hakulala siku hiyo baada ya hapo nlikubali lakini nkasema ntatumia mbinu zote hata za kijasusi kujua kama bado wana mahusiano na jamaa basi nkawa natega simu kila nikiikamata nakuta msg zimefutwa nkajua ex wake hapendi kuchat maybe au sarah ana simu mbili.
Siku ya mwizi ambayo ni ya arobaini ilipofika sarah alikua analalamika anaenda k koo lakini hana pesa na mtoto hana vitu vingi nkaona hii ni chance nkamwambia ntamtumia hela ajiandae....kumbe huku na mimi najiandaa nlipomaliza nkawasha gari nka enda hadi sehemu anapotoleaga pesa mpesa ...nkajificha kidogo alafu nkampigia akaniambia yuko tayari alikua anasubiri mimi tu nitume pesa nikakata nkamtumia.
Basi alivyoenda tu kutoa pesa kugeuka niko nyuma yake nkamwambia panda gari twende na mimi nina safari ya kariakoo , ile kapanda tu anataka aguse simu nikaichukua nikafungua sehemu ya msg akataka kuipokonya nkwamwambia ntamlamba makofi kuona nimekua mkali akatulia kwa kweli nlisoma msg nyingi sana za ex wake alieseviwa baba watoto na ilioniuma zaidi ni aliomwandikia " nakupenda baba watoto wangu" kitu kingine kilichoniuma zaidi ni jinsi mimi nlivyo seviwa ameni save ka herufi kangu ka kwanza kwenye jina langu basi baada ya hapo akawa analia tu nkamrudishia simu yake tukafika kariakoo as nothing is going on akanunua vitu vya mtoto na pesa nyingine nkamuongezea.
Jioni kurudi home akilini nikawa nimepanga kuachana naye sababu nimekua wakuchunwa ila moyo wangu unanisaliti i feel something kwa huyu mdada nkikumbuka umbo lake sura yake naona ya masaa 24 kuanzia sasa ntaomba turudiane coz na m miss na yeye anajua hilo and she is waiting for it coz aliniambia sorry kila nkimbana kwanini alifanya vile ananijibu "yaishe si nliisha kwambia sorry".
Naombeni ushauri magwiji.
Mrudie kwa mapenzi yotee, siku na saa asiotegemea, mwache ghafla.
Hakikisha it hits her so hard
Una bahati sana kuseviwa hivyo, ingekuwa ni Evelyn Salt angekusevu boya wakati miss chagga angekusevu ATM, atoto sasa ndo angekuita Lofa Mtoa Hela.
Mimi sijaoa ila nina mchumba nlie dumu nae zaidi ya miaka minne na tunamatarajio ya kufunga ndoa tumpe jina rose. Kusema ukweli nlikua nachepuka ila kwa umakini sana ili mchumba wangu asijue mpaka siku moja nlipokutana na binti Sarah (jina la kubuni) nilimuomba namba ya simu tulikutana Kariakoo bahati nzuri wote tulikua tunaishi msasani so nikampa lifti mpaka anapoishi, baadae tuka chat nkamuomba tukutane kesho yake narusha sound akaniambia anamtoto na bwana ake amemkimbia so anasaidiwa na mama yake pesa za kulea mtoto hivyo hafkirii mtu kama mimi naweza kua na msichana aliezalishwa tayari.
Maneno hayo yalinifanya nimuonee huruma sana kutokana na uzuri wake nlijikuta natamka maneno "dont worry you have me" nikimaanisha kwanzia siku ile ningekua baba wa mtoto na mme wake pia.
Basi kuanzia hapo nikawa napewa mchezo na alikua anajituma kuliko hata girlfriend wangu wa mda mrefu basi mimi nikadata kabisa, pesa zikahamia kwake msg watsap nachat nae yeye tu girlfriend wangu rose nkaona anaboa akawa tu analalamika "byb ua actin weard nowadays niambie kama umepata mwingine" nikawaga mkali kama pilipili nkawanamtaftia kijisababu tu nimuache.
Maisha yakaenda hivyo kwa kipindi cha miezi kadhaa mtoto nikampenda kama wangu na alikua bibie akilia shida najitoa kweli kweli sasa kibao kilipo geuka ni sarah alipoanza kuniambia kua x boyfriend wake aliezaa nae anataka kumuona mtoto wake hio siku ilikua chungu sana sikuweza kusema hapana basi hio tabia ya jamaa kuja ikazidi, sarah anakaa kwao so sikua na mamlaka sana ya kukataa sema hicho kitu kilikua kinaniumiza sana.
Kuna siku nkaamua kupark gari nje kwao jamaa nilipoambiwa kaja nkaaa sana baadae nkamuona mama Sarah anatoka sokoni nliumia sana sababu nlijua jamaa kaspend zaidi ya nusu saa akiwa na sarah uwezo wa yeye kumgegeda ulikua mkubwa sana basi nikamind sana nikatuma msg moja kali sana kwa Sarah baadae alinitext tukutane nilipoenda akaniambia uhusiano kati yake na ex wake ni wa mtoto tu na wasingeweza ku kwakua mtoto hakulala siku hiyo baada ya hapo nlikubali lakini nkasema ntatumia mbinu zote hata za kijasusi kujua kama bado wana mahusiano na jamaa basi nkawa natega simu kila nikiikamata nakuta msg zimefutwa nkajua ex wake hapendi kuchat maybe au sarah ana simu mbili.
Siku ya mwizi ambayo ni ya arobaini ilipofika Sarah alikua analalamika anaenda Kariakoo lakini hana pesa na mtoto hana vitu vingi nkaona hii ni chance nikamwambia ntamtumia hela ajiandae, kumbe huku na mimi najiandaa nlipomaliza nkawasha gari nka enda hadi sehemu anapotoleaga pesa mpesa nikajificha kidogo alafu nkampigia akaniambia yuko tayari alikua anasubiri mimi tu nitume pesa nikakata nkamtumia.
Basi alivyoenda tu kutoa pesa kugeuka niko nyuma yake nkamwambia panda gari twende na mimi nina safari ya kariakoo , ile kapanda tu anataka aguse simu nikaichukua nikafungua sehemu ya msg akataka kuipokonya nkwamwambia nitamlamba makofi kuona nimekua mkali akatulia kwa kweli nlisoma msg nyingi sana za ex wake alieseviwa baba watoto na ilioniuma zaidi ni aliomwandikia " nakupenda baba watoto wangu" kitu kingine kilichoniuma zaidi ni jinsi mimi nlivyo seviwa ameni save ka herufi kangu ka kwanza kwenye jina langu basi baada ya hapo akawa analia tu nkamrudishia simu yake tukafika kariakoo as nothing is going on akanunua vitu vya mtoto na pesa nyingine nkamuongezea.
Jioni kurudi home akilini nikawa nimepanga kuachana naye sababu nimekua wakuchunwa ila moyo wangu unanisaliti i feel something kwa huyu mdada nikikumbuka umbo lake sura yake naona ya masaa 24 kuanzia sasa nitaomba turudiane coz na m miss na yeye anajua hilo and she is waiting for it coz aliniambia sorry kila nkimbana kwanini alifanya vile ananijibu "yaishe si nliisha kwambia sorry".
Naombeni ushauri magwiji.