Mchepuko unakuja leo ila ni sheeda

ivi hawa walengwa uwa hawapo hapa JF. Maana msg iko wazi, unajua kabisa inakuhusu..

Kama mpo muwe mnawajib hapahapa jamani.
 

Ipo Serena Lodge maeneo fulani Uswazi - mpeleke huko.
Mpokee na bodaboda kwa kisingizio cha foleni.
Nguo nzuri za mitumba kakope uwe smart
Mengine yabuni kadri hali itavyokuwa - katika maongezi, uongo asilimia 70, ukweli mpe asilimia 30. Kazi kwako!
 
 
uwiiii nauli sh. Ngapi kutoka JF mpk Huko TWOO, nataka nikashangae warembo...

bando lako tuu mkuu sema kunapoteza sana muda maana unaweza kuspendi siku nzima yani totoz zote za ziko sawasawa
 
Na hivi tunavyofanana threesome ataikubali tu, lete mkwanja tukapige kazi ila me nitaanza

Hahahha utaanzaje kwqnza wakat hela natoa mimi... acha nifungue goli we utafata!!! nipm picha yake kwanza nsije kuwa naenda kukutana na shemeji yangu
 
Nina twent tu mkuu
mchukue boda waa kitaa mpange vizur huyo mpe buku mbili, af sema unaenda kwa mshakaj wako anaumwa mpange jamaa umkute gheto kwako huyo jAMAA anatakiwa akupgie simu mara tu unapokutana na huo mchepuko so lazma mtaenda kumuangalia, then ukifika pale unazuga jamaa hayuko poa, then muite mshkaj mwengne aje pale azuge kumsalimia mgonjwa
then mshakaj aseme kama anataka kupata hewa nje so atatoka na mshkaj af nyie mtabak ndan sa hpo hakikisha hukos hata chumu la shavu af mda wa kusepa ukifka kod bajaj ya mshakaj wa kitaa atamrudsha kwao,
ukishndwa hyo ntafute kwa plan B
 

Nimekukubali mkuu
 
Naomba namba yake nimalizie Game uliyoianzisha ila unashindwa kumalizia
 
Wa kiranga haliliwi,ulipokuwa unatunga uongo hukujiuliza hatma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…