Mchepuko unakuja leo ila ni sheeda

Nitume mimi nikakupokelee...nina vijisenti vya urithi....
 
kwani wewe ulivyokuwa unatumia huo uongo wa pesa ili umpate ulitegemea mwisho wenu uwe nini? na unategemea sisi tutakusaidia vipi, tukupe magari yetu na hela za kumpeleka huko serena au tukwambie umpotezee? me naona hiyo kesi yako muamuzi ni wewe mwenyewe
 
Hahahaha nimecheka sana! Uongo unataka kukuponza!
Kwanza sababu huyu msichana hawezi kukupenda anapenda pesa basi unatakiwa kwenda nae hivyo hivyo ili usiumbuke!

Kwanza washa simu.... kisha andaa kama laki mbili na nusu, halafu vaa vizuri!
Ukimaliza chukua gari mpaka air port ....... ukifika chukua tax kabisa.... akifika unamuingiza kwenye tax na ujiamini ili hasijue chochote na usimwambie chochote kuhusu gari mpaka akuulize maana anajua una gari!

Kama atakuuliza mwambie baby Leo majanga kweli wakati nakuja kukuchukua nilipofika ubungo ... gari likasumbua ..hivyo nikalipeleka garage mpaka kesho kutwa tutakwenda kulichukua....... mtaendelea na stories..
Unajifanya umepokea simu huku unasikitika mmmh akikuuliza vipi unasema wee acha tuuu Papo hapo unamwambie dereva tupeleke Land mark hotel...

Mkifika atakuuliza mbona hapa wakati tumepanga kwenda Serena? Unamwambia twende kwanza ndani nikueleze Serena tutakwenda usijali baby.....

Mkifika ndani unaanza kumwambia siku yangu imeharibika Leo maana nilifanya booking Serena kumbe yule niliyezoea kumwbia maana Mimi mteja wao akasahau kuweka na sasa vyumba vyote.. vimechukuliwa kuna wazungu wamekuja wana mkutano na waziri wa mambo ya nje.

Na nimepata taarifa wakati tuko njiani ndio maana uliniona nimesikitika lakini wameniambia baada ya siku mbili kuna chumba nitapata hivyo hapa tutakaa siku mbili halafu tutaamia Serena baby...maana sina jinsi...

Nina hukaki atakubali na utakaa nae Leo au kesho lengo lako litakuwa limetimia..... na hapo unaweza kujua jinsi ya kumtoroka hata kesho asubuhi.... umtoroke ukisha clear kila kitu.....
 
Never live by fake identity hata siku moja kaka,utakosa opportunities za maana hivi hivi......
 
Uko mji gani nikupe maujanja?
 
Mbona unaanza kulala kabla hujavuka Mtooo? kwani ungekwenda nae pole pole asingekupenda eeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…