Mchepuko unakuja leo ila ni sheeda

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
11,474
Reaction score
31,646
Mara ya kwanza nilimuona TWOO
Nikamfagilia kiaina mpka akanipa namba ya simu,
Nikawa nikimtext anachelewa kujibu au hajibu kabisa. Nikimcall kila siku ananiuliza nani mwenzangu na pozi pozi nyingi. Nikaona isiwe kesi nikabadili style nikajijfanya mtu mwenye dili nyingi za hela. Kila asubui namtext ile kumweka atensheni. Mara bebi leo sitakuwa kwa saa kadhaa nafata mzigo porini, mara bebi nipo apa tazara jam ni kubwa niombee niwahi ndege nafly J'berg nitageuza wiki. mara mamii niko hapa serena otel wish ungekuwa apa coz kila mtu yuko na bebe yake na blabla kibao.
hii aproach ilisaidia sana kwani nilianza kupata call na text za kutosha sana kutoka kwake. Nikaitwa majina yote mazuri mengine skuwa hata kuyaskia. Sasa kimbembe kikaanza juzi kati akanipiga mzinga wa laki mbili nikampiga sound nikamrushia elf40 akaelewa.
Sasa jana kanipigia anataka nikamchukue eapoti anatoka Mwanza anaingia leo jioni, Keshanambia kabisa hataki kwenda kwao coz anataka tumie kama siku mbili ivi tujivinjari. Na kesha niambia kabisa amemiss kwenda serena hotel kwahiyo sio mbaya kama tukilala hapo.
Sasa kwa akili tu ya kawaida mchepuko umenikadiria kuwa nina pesa za kutosha sana na kwenda kumpokea eapoti means anajuwa nina mkoko. Sasa hapa nimezima simu wakati nafikiri nifanyeje maana kanitajia serena wakati mimi huwa nazuga na banana za kuunga unga huku uswahilini. Lakini beibe yenyewe ya ukweli sana maana nimemperuzi pia FB. Mwenye maujanja anisaidie hapa nitumie technic ganni ili niende naye sawa
KAAZI NJEMA
 
we muoneshe hii text uliyotuma hum ndani atakuelewa tu,akiwa muelewa atakuonja tu kisha anakupiga chini ila kama sio muelewa ndo basi tena
 
Si umejua bila kujifanya una pesa alikupotezea, so panda basi nenda airport kampokee. Hapo utaona kama anakupenda kweli sema kwanza gari imeharibika njiani. Akikubali kupanda basi mpeleke unakoishi... Mapenzi hayana siri.

Au mpotezeeeeeeee uone nae atakavyokusaka, si unamjibu upo porini safari ya ghafla.

Una muda wa kupoteza, ulivyosema mchepuko ina maana umeoa? Na kama umeoa shame on u.
 
Wauzie ma pedejeee wenye hela wewe nenda katafute wa kupozea machungu kimboka

Duh, ndugu umeniacha kwenye wakati mgumu na hii post yako! Nlikuwa napewa maelezo na mkubwa flan sasa me nlikuwa naperuzi tu kwa sim hii thread, kukuta hii post nimeshindwa kujizuia kucheka! Sasa hapa sijui anawaza nimemcheka au nimedharau maelekezo yake??

Noma sana.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
So ukamtumia kabisa 40 na hela ya kutolea kwa akili zako timamu,anyways kwa kuwa ulianza na uongo tafuta tuu kauongo kengine maisha yaendeleee.
 
teh teh njia ya mwongo kweli ni fupi kama shortcut ya monchwari
 
Aisee kwa usalama wako mwonyeshe tu hii sledi pengine na yeye anaweza akacheka alafu mkaenda sawa. Pole mkuu
 
Njoo nikukopeshe hela na gari faster ni pm, ila unarudisha na riba pia gari ikiharibika gharama juu yako ni pm tuelewane kabisa.

Pesa unaweza kumkopesha na gari ukamwazima, vipi kuhusu udereva nao utamkopeshaje au kumwazima ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…