Mchepuko umeninyoa ikulu, umenipiga picha na kumtumia mke wangu

Wiki iliyopita ilikuwa mbaya sana kwangu, nina mchepuko mpya niliempata kwenye harusi ya mfanyakazi mwenzangu. Ni mazuri sana kwa sura na shepu.Tulikubaliana Jumamosi ndio tukapige mechi ya mchangani. Jumamosi niliona ni siku nzuri kwa kuwa wife angekuwa kazini night shift.

Nikakutana na mchepuko muda wa saa sita mchana kwa ajili ya lunch na bia kidogo.Tukala na kunywa hadi muda wa saa moja usiku ndipo tukachukua chuma kwa hali ya ulevi na hamu ya kitu kipya nikapiga non stop mabao mawili ndipo nikalala kama mfu mchepuko ulininyoa nywele za ikulu kisha ukanipiga picha kwa simu yake.

Akachukua simu yangu na kuisaka namba ya mke angu, kisha akaisevu kwake na kumtumia pia aliyonipiga kwa simu yake. Ujumbe ulitumwa kwa Whatsapp ukiwa na picha yangu nikiwa uchi kitandani na nimenyolewa nywele za chini. Ujumbe wa maneno ulikuwa unasomeka ndio ujue huyu wetu wote tuheshimiane. Akiwa kwako ni wako akiwa kwangu ni wangu tusiumbuane.

duh huyo mchepuko kachizika mkuu.
 
mkuu pole sana , kwa mwanaume yeyote hawezi furahia kitu alichokufanyia huyo mchepukooo
 
Nilichanganya pombe, safari Kibaha nikahamia Kwenye mix ya konyagi na zanzi. Nikapiga mizinga miwili mikubwa ya konyagi

Ukitarajia uukomoe mchepuko kwa hiyo mikonyagi kumbe umejikomoa mwenyewe! We sema tu kuwa mtandao pendwa wa simu uliguswa usifiche!
 
mizinga miwili ya konyagi..... wacha fix mkuu....na umechanganya.........kweli angeweza kuinuka na kukufanyia huo unyambafu........?????? Hivi kweli unaifahamu konyagi ile inatengenezwa pale chang'ombe???? nakwambia labda tungekuwa tumeweka turubai nyumbani.... na shemeji yetu keshakuwa mjane!!!!
Mizinga miwili ya konyagi inaisha vizuri tu.
 
Gari lenyewe la kusukuma ndio injini iwake, konyagi na zanzi? pumbaf..hawa ndio wanatuzalaulishaga. Anaetakiwa kulala ni ke sio me. alaah

Ila kwa sababu ni uzinzi nasema akome tu eh..na atakomeshwa tu hakuna namna nyingine.

Na we we yatakukuta tu na yakikukuta uje utupe mchapo
 
Wiki iliyopita ilikuwa mbaya sana kwangu, nina mchepuko mpya niliempata kwenye harusi ya mfanyakazi mwenzangu. Ni mazuri sana kwa sura na shepu.Tulikubaliana Jumamosi ndio tukapige mechi ya mchangani. Jumamosi niliona ni siku nzuri kwa kuwa wife angekuwa kazini night shift.

Nikakutana na mchepuko muda wa saa sita mchana kwa ajili ya lunch na bia kidogo.Tukala na kunywa hadi muda wa saa moja usiku ndipo tukachukua chuma kwa hali ya ulevi na hamu ya kitu kipya nikapiga non stop mabao mawili ndipo nikalala kama mfu mchepuko ulininyoa nywele za ikulu kisha ukanipiga picha kwa simu yake.

Akachukua simu yangu na kuisaka namba ya mke angu, kisha akaisevu kwake na kumtumia pia aliyonipiga kwa simu yake. Ujumbe ulitumwa kwa Whatsapp ukiwa na picha yangu nikiwa uchi kitandani na nimenyolewa nywele za chini. Ujumbe wa maneno ulikuwa unasomeka ndio ujue huyu wetu wote tuheshimiane. Akiwa kwako ni wako akiwa kwangu ni wangu tusiumbuane.

Iv ni kweli ulilala mpaka ukanyolewa bila kustuka au unatania?Mmh usigiz gan huo jamani....pole mkek utamwambia nini sasa....Iv kweli mkeo amekukosea nin mpaka utumie fursa ya yeye kuwa night ndo uchepuke?Ila maumivu ya mkeo na machozi yake utayabebaje???
 
watoto wa pwani hao.sio riziki mwanaume unanyolewa ikulu aushtuki watu wanaongea chumbani austuki.hivi kama ukigegedwa utastuka.
 
Back
Top Bottom