Mchepuko sio dili

Sijaipenda picha uliyoweka ni kumdhalilisha mwenzako. Ingekuwa wewe au ndugu yako amewekwa hapo ungefurahia.

Jitadhimini kuwa na staha ndugu. Usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako pia.🙁🙁😡😡

Hata aliyemfanyia unyama huo naye hana ubinadamu pia. Sawa ni mkeo ni mumeo kwani mlizaliwa wote. Okay, kachepuka mwache na hamsini zake na wee endelea na maisha yako.

Ndo maisha aliyojichagulia. Utapiga, utaua utaishia jela, umefaidi nini. Fikiri chukua hatua ya busara kabla ya kutenda.

Ni mimi mhenga niliyesema " haraka haraka haina baraka"😉😉
 
hahahahahahahahahah, kwel mhenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna maradhi ya mdomo sungura mujue!!!

fail to plan = plan to fail.
 
uliza sio matusi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu sio ubinadamu. Na hata kama walikuwa wanamgombania mwanaume sio kufanyiana mambo kama hayo aisee, huyo mwanaume atakae muowa huyo aliemkata mwenzake mdomo hivi bado na yeye kunyofolewa mabumbu Manner!!!
 
Siku nyingine ajue kwamba kuna vitu vya kupiganiwa.

Ukute na mume mwenyewe kaondoka.
 
Mbona haendi hospital? Au ndio yupo kwenye foleni ya kumuona dr?
 
hahahaha sijpigwa kwakweli!kwann asmpe tu talaka! aseeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…