ndo mana unaambiwa dunia inaenda kasi, kwa na ndo maana protection zipo.Unasema mko makini na mchepuko wako kuhusu maradhi?lakini unakubali kwa mkewe hafanyi kama anavyofanya kwako?na mkewe akiwa na mchepuko wake wa kumkuna kwa siri?na huo mchepuko wa mkewe nao kama una mke ambae nae ana mchepuko?bado sijamzungumzia mumeo na mchepuko wake na mchepuko wa mchepuko wa mumeo
nimeshatubu kwa Mungu na Mungu nae najua amenisamehe kwasababu anaona furaha yangu iko wapirafiki unamuumiza mumeo na MUNGU aliyeagiza USIZINI! Hapo je? Mumeo anaweza asijue lakini MUNGU ANAKUONA EVERY SECOND! na mumeo ipo siku atajua!!
bado hujatubu. Kutubu ina maana umeona kosa lako, unalijutia, linakuumiza kulitenda. na hivyo unaazimia kuliacha sasa hapo ndio msamaha unakujja! sasa bado unanogesha nje Mungu akusamehe tu! na unarudiarudia hapana. Kama umetubu acha na Mungu atakusaamehe? hapo unamdhihaki Mungu na mumeo!! katubu wa mumeo mwambie akusamehe na mUNGU ATAKUSAMEHE! waweza? Ila kwa vile ulikuwa wafanya sirini mwambie Mungu , ila uache bwana!!nimeshatubu kwa Mungu na Mungu nae najua amenisamehe kwasababu anaona furaha yangu iko wapi
Mkuu kuoa hao waswahili.... niujinga fulani kama unaweza kuishi bila kuoa husioeNilisema sioii, ila hii haitoshi, sichangii sendoff wala ndoa tena, wanandoa wasikuizi vichwa vimejaa upupu, na unawawasha kila saa.
heshima muhimu, na kwataarifa yako hata kunihisi hawezi hata simu nimoe siku nzima hana atakachopata.
Mswahili ni mswahili hata akiwa na degree 10..... siunamuona Kabudi.....pole sijui uswahili gani unamani, nina degree zangu 2 na kazi yangu ya maana usinichukulie poa.
Kwamba kuwa na mchepuko ndani ya ndoa ni busara? Hapo unaona umetumia busara? Ndio suluhisho la tatizo hilo?ndo maana kuna msemo usamao kuwa huyaone mwanangu ya duniani si magorofa bali ndo changamoto kama hizo, hapo atatumia busara zake
pole sijui uswahili gani unamani, nina degree zangu 2 na kazi yangu ya maana usinichukulie poa.