wewe ndio tatizo mkuu... kwa nn ulikubali kuruhusu ukaribu na mtu ambae mlishapotezeana siku nyingi, huku unajua wazi kuwa una mchumba? usingeruhusu ukaribu haya yote yasingetokea.... ungemkazia tangu mwanzo alipoleta ukaribu yote haya yasingetokea, usijaribu kucheza na moyo wa mtu... BTW maji ukishayavulia sharti uyaoge