Mchepuko king'ang'anizi

Eti ulimtema baada ya kuona anakuzingua ukatafuta mwingine sasa alikulaghai vp ukaingia kingi? Yaani apo anakuona boya afu unadanganyika kirahisi katemwa huko alikokuwa anategemea kuolewa akakukumbuka wewe mbulula na ukimua umekwisha atakupekesha hadi bac jiongeze mkuu
 
peer pressure!
anaona wenzie waolewa na yeye jua ndo lazama tena lazima awehuke
 
Haaaahaa. Endelea kumchezea tyuuu

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Kaka maisha pesa,
Napenda nikushauri umuoe huyo dada uliyempenda kwanza akawa anamalizia masomo yake chuo, maana siyo kwamba alikuwa hakupendi , bali alikuwa anajitunza na kuhakikisha kwamba anamalizia elimu yake vizuri kwaajili ya maisha yenu ya baadae kama unavyoona tayari amemaliza na elimu imempa kazi ,na sasa amekuja rasmi kutimiza ndoto zako za kuwa mke mwema wako. Yeye anaamini kuwa wewe ndiye mumewe wa maisha yake, na ndiyo maana yupo tayari kukupa kila unachotaka au kinachohitajika katika maisha yenu.
Mfikirie mara mbili, usijejuta baadae.
Alikuwa anaanda maisha yenu.
Yangu ni hayo tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anataka ndoa tu hana mapenz na ww fanya umalize ulichokianza na na mchumba wako kinyume na hapo utakuja kuja muda sio mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hamna ulichocomment ni mihemko tu. Wewe ukipewa mbunye utaiacha? Katemwa huko halafu mimi nimemuoa au sio? Kama ni dada yako kamuambie nimemla na kumuoa simuoi, na hela nimekula kiwanja nimekataa sitaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama angenipa jibu hilo mwanzoni ningemuelewa na kumvumilia lakini aliniambia hanitaki na haitakaa itokee nimpate, mimi simfai na ana mtu wake anayempenda kwa dhati maneno haya alitamka mara nyingi sana. Lakini alivyorudi akaniambia hakuwaga na mtu na mimi nikamwambia nina mtu lakini bado hatujaoana ndo akaanza fighting za kumuovertake niliyenaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok, basi angalia huyo uliyenaye sasa na yeye soma mioyo yao kwa undani kitabia ikikupendeza moyoni mwako oa mmoja wapo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hao wanaoleta hadi mshahara hawawezi kuniletea na mimi jamani? mie napenda sana loooh
ningekuwa wa kiume ningeomba aje kwangu

teh teh
 
Hajui tu masikini kuna mwanaume mahali flani ambae atampenda kwa dhati kuliko kukung'ang'ania wewe.
halafu nashangaa anamng'ang'ania wa nini na kujitosa hivyo? eti mshahara wote na kiwanja anunue? over my dead body, I will not dare even think of that stupidity things

loooh Mungu nisaidie tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…