Mchepuko kanikimbia

nani mbuzi

Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
79
Reaction score
11
Nilichukua mda wa lisaa na nusu nikiwajibika ipasavyo kwa ujumla wa ---- 999 nilipiga sasa mishipa inaniuma... je madhara yake nini wakuu
 
Unatia sana mahitaji mengine hutimizi
 
na wewe kimbia kuekekea opposite direction, unakubali ugelelwe?
 
madhara makubwa kabisa ya kuovadozi dushe ni kusinyaa na hatimaye kupotea kabisa katika uso wa p.mbu
 
Nilichukua mda wa lisaa na nusu nikiwajibika ipasavyo kwa ujumla wa ---- 999 nilipiga sasa mishipa inaniuma... je madhara yake nini wakuu

Mh!! Lugha gongana, hapanihusu hapa bila shaka!! Watoto wameshaingia....!!
 
Mmmh mbona sijaelewa kitu au nimeingia siko?
 
taito na maelezo kama miguu na shingo yaani tafauti
 
Mchepuko wake Njia Kuu Mchepuko ni dharura ya Njia kuu,
Kama wakati wa mafuriko mingi ilifanyika michepuko,
Safari zetu za mbali na karibu ziliendelea pasi mkwamoni ,
Twajiuliza bila michepuko ile tungewayawaya barabani?
Lakini mchepuko chepwe chepwe bila kurudi njia kuu,
Abaadani huo si Mchepuko wa Njia kuu bali mpya Mchipuko
Fungu macho elewa Njia Kuu haiendani na Mchipuko,
Ama tinga tinga tahitaji likuchongee mpya Njia Kuu,
ama yako maishani takuwa Makorongo na Mapori,
pasipo dira mwelekeo utalala Maporini na Mokorongoni,
Kaditama namaliza tena Mchepuko ni dharura ya Njia Kuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…