acheni kujidanganya. nani humu ambaye ameoa hajatoka nje ya ndoa yake? wameshindwa maaskofu na makasisi bhana sembuse ww!!??
i HATE monday
Hilo nalo neno!!!!bora kuchezea makopo kwanza weee ukija kuingia ndani unakuwa huna shida tena ya kuchezea vikopo unatulia njia kuu!![/QU Mh! hapana! bora kutulia tuli ukingoja nyota ing'ae coz kuna siku utaanza kumlinganisha mwenzi wako na vikopo,ndo mwanzo wa kuchepuka,yaleyale!
Hapana,michepuko inakuwepo kwa kuwa tabia za wanandoa wengi hubadilika baada ya ndoa hata kama kabla ya ndoa walikuwa wanapendana..[/QU No! Hao walikuwa wanajifariji kuwa wanapendana kumbe wanatamaniana tu,Hakuna upendo unaoleta majanga Bwana!,UPENDO HUJITOA SADAKA KWA GHARAMA YOYOTE KWA AJILI YA FURAHA YA MWENZI,UPENDO HAUNA TABIA ZA KINYONGA(KUBADILIKABADILIKA),TENA HAUTEGEMEI UWEPO WA MAZINGIRA AU HALI FULANI,UPENDO UPO VERY CONSISTENT,KUBADILIBADILIKA NI TABIA YA TAMAA ZA MWILI NDUGU!
acheni kujidanganya. nani humu ambaye ameoa hajatoka nje ya ndoa yake? wameshindwa maaskofu na makasisi bhana sembuse ww!!??[/QU Aisee kumbe maisha yako umeyaegesha kwa maaskofu na makasisi,wakianguka na wewe chali!,pole sana!,labda nikushauri usiwe mwepesi wa kuamini mtu kwa title yake kama huna uhakika ye ni wakala wa Mungu au Shetani,kumtambua ni lazima uwe na macho manne(ya nyama na ya rohoni),ya nyama pekee hayawezi coz wanajificha wasitambulike machoni pa watu,otherwise utakuwa mtu wa kukisiakisia tu,U WON'T BE SURE OF EVEN YOUR RELIGIOUS LEADERS WHETHER NI MAWAKALA WA MUNGU AU SHETANI,ITAKUSUMBUA SANA!
Nakubaliana na wewe kiasi fulani lakini wengine inakuwa tabia(kilema) hata asipooa/asipoolewa kwa ajili ya tamaa atachepuka tuKinachomfanya mchepukaji achepuke ni ukweli kwamba aliingia kwenye ndoa/mahusiano kwa kusukumwa na tamaa za mwili badala ya upendo na ndo maana hatulii na hataweza kutulia labda atulizwe na Neema ya Mungu.
Upendo haupungui neno wakati wowote, huushinda ubaya kwa wema, kuna tofauti kati ya upendo na tamaa za mwili.
Chunguza utasema ndio.
Hilo nalo neno!!!!bora kuchezea makopo kwanza weee ukija kuingia ndani unakuwa huna shida tena ya kuchezea vikopo unatulia njia kuu!!