Nami naongeza swali.
- je ni mchele wa wapi ule ambao ukiupika, kuna kaharufu fulani kazuri, kaharufukanafikahadimtaawapili.
== My take | Sijawahi fuatilia ili kujua mchele/wali ninaokula unatoka wapi?

Sio dar tu naona demand yake ni Tanzania nzima ,ule mchele unanukia vizuri na ni mzuri kwa ubora,unaweza kula bila hata mboga ulivyo mtamu. nenda mbeya kauchukue mwenyewe upate ule og utaona ulivyo mzuri

Mchele bora ni mbeya, ila pia hata mchele wa Magugu pia ni mzuri sana, unaweza kuzidi wa mbeya isipokuwa huwa supply ni ndogo kuliko demand, ni maarufu sana kwa kanda ya kaskazini hasa kwa mikoa ya Manyara,Arusha, kilimanjaro na kanda ya kati kidogo