Mcheck jamaa pembeni hapo!

Mbona sijaelewa ina maana huyo wa pembeni ndo bwana harusi ama?
 
Si afanye kama anavyofanyaga na mweziwe nyumbani, kuliko kukodoa mimacho kama mjusi kabanwa na mlango
 
Anatamani angekuwa yeye.

Angalia anavyojiramba midomo
 
Huyo bi harusi mbona anafanana na Omotola Jalade?
 
Hapo akiachiwa upenyo wa hata dakika1 anamaliza kazi???
 
Hahahaha..uchuuuu hadi unanyonya ulimi wake mwenyewe. shame???
 
Duuuh hao wanafanyaje jaman mbona .kama wanamezana duuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…