Hivi ni kwanini mwanamke akimzidi umri mwanaume familia inaleta vikwazo juu ya mahusiano kati yao mpaka inafikia kuachana unakuta labda mke ana miaka 40 na mume 35 au mke awe 45 na mume 40 inakuwa ni tatizo kubwa?
Simvunji moyo,ni venye mimi nionavyo kwa upande wangu,. yeye kama yuko happy baaasi watu hata tumpigie vuvuzela haisaidii as long as yeye yuko okay i think ni 👍..