Mchango wa mh. Msigwa bungeni 5.15.2013

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
Anayoyasema huyu Mbungeni ni ya ukweli kabisa huku Ughaibuni kuna Wamachinga wamepangiwa kwa siku zao maalumu kuuza vitu vyao mjini. Anazungumza Point Mheshimiwa Msigwa.

 
Last edited by a moderator:
Guang Zhou China wao wamepangiwa Massa mawili kwa siku kuanzia saa moja usiku mpaka saa tatu usiku tu, na wamewekewa utaratibu mzuri sana wanapanga bidhaa zao kandoni mwa barabara bila kuwabughuzi waenda kwa miguu na baiskeli baada ya muda kwisha huondoka mara moja na wasafishaji hupita
Ole wako usiondoke muda ukishaisha
 
Mzizi mkavu nilifungua hii post nikadhani kuna picha,kama ni video si ungeweka jukwaa la siasa?
_hata hivyo simu yangu haina uwezo wa kufungua hiyo makitu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…