Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,060
- 173,746
- Thread starter
- #41
Hapo Mzee baba ndio mambo yote, hata interests zao hao mabiniti ukiangalia pakubwa ni kwamba they tend to favour they dad more than you. Kile kinachomfurahisha mzee wao ndio priority and they also enjoy being around him.Well tuje kwenye mada husika!
Mabinti walio karibu na baba zao kwanza hujifunza upendo wa jinsi tofauti , kiasi hata katika mahusiano ya kijinsia they tend to be very stable!
HAIMSHANGAZI!
HAONI NI PRIVILEDGE RATHER ANAUTAZAMA UPENDO KAMA UBINADAMU SINCE KWAKE NI KAWAIDA KUPENDWA NA ASIYE WA JINSI YAKE!
HATA NAMNA YAKE YA KUTOA NA KUPOKEA MAPENZI NI TOFAUTI!, ANAKUWA SI TEGEMEZI WA KIHISIA!
Mabinti hawa hata huchelewa kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi, NA AKIINGIA mostly anakuwa VERY INDEPENDENT!,
Kinyume na wanavyotafsirika dads girls wengi are the best wives, mothers and girlfriends!
THEY TEND TO LOVE AND SHOW LOVE KWA AINA YAO KABISA!
ambayo its controversial but the best!
IM A MOTHER OF TWO GIRLS (19,14 yrs) the bond between my girls and their father is daaaaah!
I love the way they are!