Mchango! Mchango! Mchango! Wa kumlipia ngasa faini..........

Mchango! Mchango! Mchango! Wa kumlipia ngasa faini..........

Hizo fedha mnazochanga bora mkanunua mchezaji mwingine maana ngasa si mchezaji wa thamani hiyo kwa sasa.Ukiona jinsi alivyosaini mkataba wa simba na kuwageuka unapata uhakika kuwa Ngasa ni mchezaji asiyejua kwamba baada ya 30 yrs atakuwa written off kisoka na hao mashabiki wanaomshangilia hawatamsaidia.Mpira ni ajira na si upenzi dogo halijui hilo mambo kama hayo ndiyo yaliwaumiza wanasoka wa zamani kiuchumi.
 
Back
Top Bottom