Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,350
- 26,166
Lilipowekwa bandiko hapa JF lihusulo tetesi za wewe na wengineo kuvuliwa uanachama wa BAVICHA na CHADEMA,ulikurupuka kwa nguvu ya kimbunga kuja kukanusha uliouita upotoshaji. Ukajidai kujenga hoja eti kwamba wewe hukuwa mwanachama wa BAVICHA hivyobasi huwezi kufukuzwa uanachama wa BAVICHA wala wa CHADEMA.
Hoja yako nyingine ni kuwa BAVICHA hawana mamlaka ya kukufukuza/kukuvua uanachama. Sasa,imetoka taarifa rasmi ya BAVICHA inayokuvua uanachama wewe Mchange, Juliana Shonza na Mtela Mwampamba.
Ndugu yangu Mchange,tumia kasi ile ile kutumia taratibu halali za chama kujenga hoja zako. Usichelewe.Matatizo yako Mchange ni haya:unadhani kuwa u maarufu,una Jimbo,unalindwa,mfuata kanuni na Katiba,ni mjenga hoja mzuri na mwenye misimamo mikali. Hizo ni dhana tu ndugu...hazina ukweli wowote.
Jitokeze sasa na hoja zako

Hii hapa:Ndondosha hiyo taarifa mkuu!!!
Hana hoja huyo msaliti hakuwa mwanachama wa BAVICHA alikuwaje mgombea wa Uenyekiti wa BAVICHA?
Mkuu,hii nayo ni ID mpya ya PM7? Hatahivyo,mnajitahidi sanaHeche anatokwa na mapovu hanajipya lakini namkumbusha muosha huoshwa iko na yy siku yake
ni kweli,maana kama ni mgombea Uongozi ndani ya BAVICHA huwezi kwepa rungu la BAVICHA pindi tu ukutwapo na makosa.Hana hoja huyo msaliti hakuwa mwanachama wa BAVICHA alikuwaje mgombea wa Uenyekiti wa BAVICHA?
ni kweli,maana kama ni mgombea Uongozi ndani ya BAVICHA huwezi kwepa rungu la BAVICHA pindi tu ukutwapo na makosa.
lakini yawezekana umri alionao sasa ni zaidi ya miaka 35,ikimaanisha si mwanachama wa BAVICHA.
ila siasa bwana ina jinsi ya kuicheza,ukicheza vibaya inakula kwako.
Heche anatokwa na mapovu hanajipya lakini namkumbusha muosha huoshwa iko na yy siku yake

sasa kibarua chao kimeota nyasi,walilipwa fedha haram kwa sabbu ya vyeo vyao sasa leo watalipwa kwa lipi?mungu ibarik cdm.Masalia wamemwagiwa maji ya moto shimoni hahahaa