Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) kimekemea vikali tabia za baadhi ya vyama vya siasa kuwalazimisha wananchi kususia uchaguzi ni kuwanyima haki ya msingi kwa mujibu wa katiba.
Chama husika hakishiriki uchaguzi hatua hiyo ambapo ni kinyume cha demokrasia ya kutaka kufanya jaribio la kupora haki za wananchi.
Mwenyekiti wa MECIRA, Mchange Habibu, akizungumza leo katika kipindi cha Kipindi cha Wasafi Good Morning amesema kwa kusisitiza kuwa Demokrasia inasimama juu ya misingi ya uhuru wa mtu mmoja mmoja kufanya maamuzi kwa hiari yake.
“Kila raia ana haki ya kushiriki au kutoshiriki uchaguzi kwa hiari yake. Hii ni haki ya kikatiba isiyoweza kufutwa na chama chochote. Chama kinaweza kususia, lakini haki ya wananchi kushiriki inabaki palepale. Demokrasia halisi inajengwa kwa hoja na heshima, si kwa shinikizo,” alisema.