.
Mchanganuo wa matokeo hayo katika baadhi ya kata kwa ufupi:
KUTOKA BAGAMOYO KIBINDU.Matokeo ya jumla: CCM- kura 1682(75%),CHADEMA- kura 548(25%).
MAGOMENI :Matokeo kwa jumla: CCM 1183, CUF 708, CHADEMA 347.
KUTOKA LINDI NA MTWARA.CCM imeshinda Kata Zote za Uchaguzi Uliofanyika jana .
NACHINGWEA....ADC -9 CUF -110 CHADEMA -188 CCM -517.
KUTOKA KIGOMA JIMBONI KWA ZITTO KABWE: CHADEMA wamepoteza kata ya MKONGORO Jimboni KWA Zitto Kabwe,Imechukuliwa na CCM(Kata Ilikuwa Inaongozwa na CHADEMA).
KUTOKA MOSHI. Kata ya Kiboroloni imebakia CHADEMA
KUTOKA KONDOA: CCM --1,296 CUF--935. CDM--29 NCCR--34
KUTOKA SOMBETINI JIJINI ARUSHA - CHADEMA Imeshinda Kata ya Sombetini kwa 2548 na CCM 2077
KUTOKA RUNGWE MKOANI MBEYA. CCM Imeshinda kata ya Malindo na Matokeo rasmi Kata ya SANTILYA-Mbeya Vijijini. CCM - 1650 CDM - 1154.
KUTOKA MANYARA KITETO: CCM Imeshinda kata Zote mbili ikiwamo ya Partimbo.
KUTOKA KAHAMA KIBAGWE :CCM Imeshinda Kata ya Kibagwe (kulikuwa na Kata moja tu ya Uchaguzi).
KUTOKA BUNDA : CCM Imeshinda (Kulikuwa na Kata Moja ya Uchaguzi).
KUTOKA NJOMBE MJINI: Chadema Imeshinda ( Kata Ilikuwa Moja tu ya Uchaguzi).
KUTOKA LUDEWA :CCM imeshinda,Kulikuwa na Kata Moja ya Uchaguzi.
Hitimisho:
Katika kata 27 zilizofanyiwa Uchaguzi,CCM Imeshinda kata 24,Chadema Kata 3. Kwa Maana hiyo CCM Imeshinda Kwa Kishindo Uchaguzi huu hasa Ukizingatia UShindani wa Kisiasa Uliokuwepo siku za hivi Karibuni..