Mchambuzi Simba Mwinyi: Kuzima mitandao ilikuwa ni mbinu bora ya kulinda amani

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi, Simba Mwinyi, amesema amani ni kipaumbele cha kwanza kwa Serikali yoyote duniani, akisisitiza kuwa maendeleo hayawezi kupatikana ikiwa amani haitadumishwa.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na Jambo TV leo Novemba 6, 2025, amesema:

“Serikali yoyote makini duniani, amani kwake ni kipaumbele. Huwezi kudai maendeleo kama umeshindwa kuidumisha amani. Tuna mifano ya mataifa mengi yaliyoingia kwenye machafuko na vurugu, hakuna maendeleo huko,”

Hawa watu ndo tulikuwa tunawataka waje kwenye kikao huku mtaani ili tuwakumbushe majukumu yao kama binadamu.
 
Mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi, Simba Mwinyi, amesema amani ni kipaumbele cha kwanza kwa Serikali yoyote duniani, akisisitiza kuwa maendeleo hayawezi kupatikana ikiwa amani haitadumishwa.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na Jambo TV leo Novemba 6, 2025, amesema:

“Serikali yoyote makini duniani, amani kwake ni kipaumbele. Huwezi kudai maendeleo kama umeshindwa kuidumisha amani. Tuna mifano ya mataifa mengi yaliyoingia kwenye machafuko na vurugu, hakuna maendeleo huko,”

IMG_8470.jpeg
 
Nauliza hawa wachambuzi huwa wanatolewa kutoka udsm au ITV malumbano ya hoja
 
Mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi, Simba Mwinyi, amesema amani ni kipaumbele cha kwanza kwa Serikali yoyote duniani, akisisitiza kuwa maendeleo hayawezi kupatikana ikiwa amani haitadumishwa.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na Jambo TV leo Novemba 6, 2025, amesema:

“Serikali yoyote makini duniani, amani kwake ni kipaumbele. Huwezi kudai maendeleo kama umeshindwa kuidumisha amani. Tuna mifano ya mataifa mengi yaliyoingia kwenye machafuko na vurugu, hakuna maendeleo huko,”

What do you expect from somebody called “Mwinyi Simba” to say? Obviously as expected
 
Back
Top Bottom