tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Ni tangazo la kuhamashisha watu kutumia huduma ya kukopa pesa na kuweka katika mtandao wa air tel, tangazo linaeleweka ila kipengere cha mcharo kawa mtamu" nini maana yake?
Lile tangazo husema"mchalo KAOA mtamu" ..........na siyo "mchalo KAMA mtamu"
Ni tangazo la kuhamashisha watu kutumia huduma ya kukopa pesa na kuweka katika mtandao wa air tel, tangazo linaeleweka ila kipengere cha mcharo kawa mtamu" nini maana yake?
naona ana wazimu huyoo kaoa mtamu sa ndio niniSasa kaoa mtamu maana yake ndo nini