Mchakato wa tenda za REA ni tatizo

Mchakato wa tenda za REA ni tatizo

DERACUS

Member
Joined
Aug 28, 2023
Posts
10
Reaction score
1
Rea project process za tender lazima main contractor afate proccess and procedures.

Bond security bank awe nayo na awe na uwezo wa kuendesha kazi kwa gharama zake running cost na kuwa na facility zote kuanzia insurance na working tools and safety gear PPE ku provide kwa sub contractor mpaka transportation rogistic kisheria ndio maana vikampuni vidogo register awapewi tender kwa sababu mtaji wao ni rasilimali watu wafanyakazi na ujuzi tu.

Sasa wizi na utapeli na uraghai wa main contractor wanapotoa kazi wanambebesha subcontractor mdogo running cost asilimia 95 na awalipi iyo bajeti zaidi ujenzi wa line tu price u ni wizi wa kisayansi kuibia serikali ya Jamhuli ya Mungano wa Tanzanian na ulaghai.

Pia tunaomba watalamu wa kisayansi ktk Jamhuri ya Muungano wa Tanzanian wawe watafiti na ufumbuzi wa kubaini wizi wa kisayansi ndani Jamhuli ya Muungano wa Tanzania ukombozi wa fikra utengeneza maendeleo ya Watanzania na wageni pia haki elimu muimu usawa Ili mungu aliokoe taifa la Tanzania muhimu maoni yetu ya uzalendo na maendeleo ya wengi.
 
REA ilikuwa Round One.. ndio ilikuwa na hela.. kidogo REA Two.. ila kuanzia REA 3 na moto kabisa REA 3 round 2.. ni 🥲🥲🥲🥲

Usimamizi wa miradi Tanzania bado midogo sana, ukiangalia execution nje ya design na ununuzi wa mataerial.. hufanya sub.. ila ma sub wana njaa wakipewa hela yoyote wanachuku ila mwisho wa siku zina watesa.. Ingawa kumekuwa na mshauri wa mirdai ila bure, kabisa.. na hii inatoka na rushwa... lifanyike nini ?

Masub wawe na makitaba.. ambayo itasikamiwa vyema.. na pande zote na wapitishwe na REA ambayo imefanyika kwa sehemu .. ila hadae wakachia mambo yaense ovyo ovyoo..

Masub kupata miradi.. jiunge kampuni mbili JV.. fanyenyeni kuomba nendeni bank za kawaida wapeni mchongooo..
 
Back
Top Bottom