WAITARA
Member
- Sep 23, 2013
- 68
- 37
Leo kuanzia muda wa saa mbili usiku hadi saa tatu na nusu usiku nitakuwa kwenye kipindi cha Mchakato wa Katiba Mlimani Tv.
Critical Thinkers wote mnakaribishwa tujadili pamoja hapa ndipo mahali pake.
Kwa umuhimu wa Katiba kwa taifa na watu wake naomba tujumuike ili kujadili na kisha kwa pamoja tutafute njia ya kwenda mbele.
Samahani kwa sasa sitatoa mawazo yangu na msimamo wa Chama juu ya UKAWA na Kikao cha bunge Maalum mwezi ujao ila tukutane kwenye kipindi kujua mbichi na mbivu.
Kutakuwepo pia na uwakilishi wa CCM na NCCR-Mageuzi.