Mchaga na PRADO

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102
Mchaga kapata ajali mbaya ya gari na kuzinduka akiwa hospitalini. Mahojiano kati yake na Nesi:-
Mchaga; kwanini nipo hospitali?
Nesi; Pole sana ni kwamba ulipata ajali mbaya sana ukiwa na gari yako.
Mchaga; Nini? PRADO yangu? Imegongwa!
Nesi; pole sana. Hata hivyo mkono wako wa kushoto umekatika.
Mchaga: Saa yangu imepotea?
Nesi; Usijali kwani familia yako ipo hapa kukufariji.
Mchaga; Yesu ruwa! Mama manka yaani mmefunga lile duka mkaja huku wote!.
 
Hahahahahaha uwiiiiiiii jamani mbavu zangu dah!

Sent from my BlackBerry 9800using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…