mchaga na mpare

Badu

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
407
106
MCHAGA anamdai MPARE
hela..huku MSAMBAA akishuhudia
MPARE:nimesema sikupi bora
nijiue avaeee
(kwa ubahili wake mpare
akajichoma kisu akafa)
MCHAGA:kiruu umejiua mbee
sikubali na kufuata huko huko
unipe pesa yangu
(kwa kupenda hela mchaga nae
akajichoma kisu ili amfuate)
MSAMBAA:tateee nane
nane..yaani hawa wanataka
kuninyima uhondo wanaenda
kudaiana huko ili nisione,walah
sikubali nami najichoma
(msambaa kwa umbea tu,na
uboya wake nae akajichoma)....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom