Mchaga na Mkinga mahabani!!!

Mchaga na Mkinga mahabani!!!

Status
Not open for further replies.

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
171
Wanajamvi napata mkanganyiko
Hapa mchaga kweri wanaweza kuishi katika ndoa na mkinga?!!
Kama ndio ni yapi ya kuzingatia ili ndoa idumu
 
Wakinga siku hizi ndo habari ya mujini.Ni watafutaji wazuri kama walivyo wachaga.
 
Wakinga siku hizi ndo habari ya mujini.Ni watafutaji wazuri kama walivyo wachaga.

uoga wa nini bwana? unaoa kabila au mke? hii ni karne ya 21. kw taarifa yako nimeoa mkinga na mambo bomba tu.
 
Naskia ni wachawi wanatabia kama za wanawakevwa kule moshi kumtanguliza mume yeye abaki na mali
 
Naskia ni wachawi wanatabia kama za wanawakevwa kule moshi kumtanguliza mume yeye abaki na mali

Hivi karne hii ya 21 bado unaamini uchawi? Basisi wewe mwenyewe ndo mchawi hakuna mkinga mchawi hata mmoja ila wakinga wajanja wa kufukuza shilingi na hawakati tamaa ndio maana wengi ni winners
 
Toa up.....mbavu wako hapa unabiaha nn ni mkinga gani anapesa na ukamkuta smart utakuta mkinga anamagorofa lkn ni mchafu mpaka hutamani kumuangalia hata wafanyakazi wa hiyo biashara ndio utdhani ni mabosi wake tajiri ilo lipo wazi na inajulikana
Hivi karne hii ya 21 bado unaamini uchawi? Basisi wewe mwenyewe ndo mchawi hakuna mkinga mchawi hata mmoja ila wakinga wajanja wa kufukuza shilingi na hawakati tamaa ndio maana wengi ni winners
 
Ukitaka tuwataje kwa majina tunawajua mtu kasoma mpaka la saba eti anamiliki gorofa nne hapa mjini angekuwa maukuma tungesema aliuza ng'ombe au madini uko kwenu kuna nn kiwape utajiri wa ghafla zaidi ya kuku kula maindi wewe watu wana data kaa kimya utaaibika humu chezea jf
Toa up.....mbavu wako hapa unabiaha nn ni mkinga gani anapesa na ukamkuta smart utakuta mkinga anamagorofa lkn ni mchafu mpaka hutamani kumuangalia hata wafanyakazi wa hiyo biashara ndio utdhani ni mabosi wake tajiri ilo lipo wazi na inajulikana
 
kama unatengeneza faida kubwa na kutumia kidogo basi utakuwa tajiri kwa sababu faida utaitunza na kuwa tajiri. kama matumizi yako ni makubwa kuliko faida unayopata utafilisika na kuwa masikini kwani utatumia faida yote na mtaji. kwa hiyo tunaoma moja ya msingi wa utajiri ni ubahili kama walivyo wachagga , wakinga na wa china. umesahau wachina ni hahili sana ndiyo maana ni matajiri sana .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom