Mchaga na Mbuzi (Ndafu)

Mkuu hiyo nguo aliyovaa inaonyesha taswira aisee duhh halafu anabonga na simu kwa uhuruuuu
 
Boflo sasa hiyo hapo katikati ndo mguu wa mbuzi. Wewe unatafuta matatizo na watu humu ndani
 
Nilidhani picha ya kwanza inachekesha nika smile tu, nikafikia ya pili nikacheka kweli nilipofika ya tatu kicheko kikakatika ghafla!
 
bofloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Nilidhani picha ya kwanza inachekesha nika smile tu, nikafikia ya pili nikacheka kweli nilipofika ya tatu kicheko kikakatika ghafla!

Ukakumbuka shuka uwahi kulala nini?
 
Boflo hufai kabisa,lol...kila siku unakuja na kituko kipya.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…