C chachana Member Aug 4, 2011 57 92 Mar 10, 2012 #1 Kesho ni mtifuano arumeru. Mhe msigwa mbunge wa iringa mjini na mhe sugu mbunge wa mbeya mjini wameingia usiku huu jimboni arumeru tayari kwa uzinduzi wa kampeni za ubunge.
Kesho ni mtifuano arumeru. Mhe msigwa mbunge wa iringa mjini na mhe sugu mbunge wa mbeya mjini wameingia usiku huu jimboni arumeru tayari kwa uzinduzi wa kampeni za ubunge.
DALLAI LAMA JF-Expert Member Jan 31, 2012 8,651 2,627 Mar 10, 2012 #2 Yani sugu chalii angu baadaye ukipande steji we tupe tu mstari machalii mana huku ndo tumejaa mahipop wa ukweli arifu
Yani sugu chalii angu baadaye ukipande steji we tupe tu mstari machalii mana huku ndo tumejaa mahipop wa ukweli arifu
M mgeni wenu JF-Expert Member Jan 2, 2012 3,664 1,730 Mar 10, 2012 #3 DALLAI LAMA said: Yani sugu chalii angu baadaye ukipande steji we tupe tu mstari machalii mana huku ndo tumejaa mahipop wa ukweli arifu Click to expand... Sera kwanza
DALLAI LAMA said: Yani sugu chalii angu baadaye ukipande steji we tupe tu mstari machalii mana huku ndo tumejaa mahipop wa ukweli arifu Click to expand... Sera kwanza