Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,369
- 8,072
SHIRIKA LA CHANGAMOTO ZA MILENIA (MCC) LIMEULEZEA UCHAGUZI WA MARUDIO WA ZANZIBAR KAMA HILA ZA CHAMA TAWALA KUREKEBISHA KASORO ZAO BAADA YA KUSHINDWA UCHAGUZI WA OKTOBA, 2015.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la changamoto za millenia (MCC) akiwasilisha ripoti yake mbele ya bodi ya MCC amesema uchaguzi wa marudio wa Zanzibar ni jitihada za chama tawala CCM kurekebisha kasoro zao kwa uchaguzi wa mwezi Oktoba 2015 ili kuhakikisha wanashinda kwa gharama yoyote, na kwamba Tanzania imekiuka masharti ya MCC ya utawala bora na chaguzi shirikishi.