Leo ni s ya mjadala kwa wapenda maendeleo wa Tanzania kwani kukosekana kwa fedha za MCC ni pigo kwa mirad mbalimbali ya kimaendeleo iliyokuwa ikiendelea nchini chini ya ufadhir wa fedha za MCC kama vile barabara ya Tunduma-Sumbawanga, mradi wa umeme vijijini (umeme wa REA)
Haya yote yanatokea kwetu si kwa sabab ya makosa tuliyofanya kama Taifa, hapana. Ila ni kwa sabab ya kikundi cha watu wachache ambao wao wamechagua kuitumia demokrasia kujinufaisha wao na kuwakomoa wale wote ambao hawako upande wao ! Rejea sheria ya makosa ya mtandao kwani lengo lake ni kudhibiti wale wote wenye mawazo tofauti na serikali, pia suala la Zanzibar kurudia uchaguzi ni kwa vile wao tu ndo wanajiona wana haki yakushinda na si vinginevyo.
Mambo kama hayo yanapotokea katika taifa yatupasa kujitafakari kama kwel hii adhabu ilitupasa kuipata ? Isije kuwa makosa ya kikundi cha watu wachache kinaharibu maendeleo ya kundi kubwa la watu !.
Kwa namna yoyote ile sababu za kukosa hii pesa haziwezi kukubalika, ingekuwa tumetenda kosa jingine walau tungetafuta uhalali wa kukosa huo msaada. Kama tumekubal kuwa na demokrasia lakini wachache hawataki kuifata hiyo misingi ya demokrasia halafu tukakubali kuadhibiwa kwa makosa yao hili haipaswi kuvumiliwa, kwan inaharibu picha nzuri ya Tanzania mbele ya jumuiya ya kimataifa.
Ni kwel hatuwez kuendelea kwa kutegemea wahisan lakin tukubali pia kuwa hatuwez kuendelea ikiwa tunaadhibiwa kwa ujinga wa kujitakia kama huu, wazir wa mambo ya nje analalamika eti "miradi mingi ya maendeleo itakwama" ni kwel itakwama kwa kuwa wanaccm mmetaka iwe hivyo. Mnafanikiwa kutawala Zanzibar na kuminya uhuru wa maoni lakini watu watu watakosa kupiga hatua kama ilivyokuwa imetarajiwa.
MCC haiwez na haipaswi kuwa eti ni kipimo cha UZALENDO, kukosa dola million 472 ni adhabu kubwa sana kwa kosa la kijinga, Wanaccm na viongoz wa nchi wasipotoshe maana na mjadala kwa kukimbilia kusema "sisi ni nchi huru tusiingiliwe katika mambo yetu".
Nchi Kujitegemea ni mchakato na Tanzania bado hatujafika huko, viongozi wetu wanahitaji kujitafakar ni kwa namna gani wanafidia hii akisi katika mirad yakimaendeleo.
"Wametuumiza pale panapouma" Dr Mahiga- wazir mambo ya nje