MCC na Tanzania

Jmujun

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
965
525
habari wana jf,
siku zinapita, siku zinasonga habari nazo zinapita kiasi cha kusaulika. vp zile story za mcc kwan ndo zlfka mwisho? mbona kmya au tz na mcc ngoma droo. tafadhar mwenye updates atupie, gud day
 
Ile mkuu ndio imefika mwisho hakuna kitakachoendelea pale siwezi kuongea sana humu nisiwe jipu lkn ninauhakika MCC hakuna tena
 
hiyo ndo tanzania bwana, tutaishi tu hata ubabaishi
 
Kuna zaidi ya MCC. Fuatilia habari za wawekezaji kutoka China,Urusi,Korea na biashara na jirani zetu Rwanda na Uganda.

Tutafanya waliyodhani hatuwezi,MCC tutaifuatilia baada ya kujua rais wa Marekani ni nani baada ya Obama kumaliza muda wake.
 
Back
Top Bottom