Mc Mboneke ni mbunifu....."Vita irudiwe"😂

The Eye

Member
Oct 29, 2020
64
125
Kuna jamaa anajiita @mc_mboneke huko Instagram.Huyu dogo ameanza kutamba wiki hii kwa aina yake ya uchekeshaji.
Anajirekodi video huku anakimbia na kuongea na maneno ya kuchekesha.

Kuna clip zake maarufu kama "kama shule ipo au ndo anaenda kijenga"

Nyingne anawaambia viongozi wa serikali kwamba chanjo ya Corona iwekwe kwenye mirija ya falopio.

Ila kali zaidi ni ile anayosema wakati maji maji inapiganwa tulikuwa wadogo hivyo vita ile irudiwe,vita irudiwe.


*Mwenye clip asaidie kupandisha hapa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom