Mc Dr. Cheni na Mc Garab, hao wanawake mnaowapost katika kurasa zenu wakicheza huwa mnawalipa kiasi gani?

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
8,855
12,989
Dr. Cheni na mc Garab acheni kuwadhalilisha wanawake ktk page zenu ili kuvutia biashara zenu za umc mnawadhalilisha watu ,wake za watu wachumba za watu bila ridhaa yao sas kipembe inawafata subirini mziki wake nakuambieni mtafilisikaa mnk kesi iko wasi kbsa na fidia anayotaka siyo ya kitoto

Niko na dada mmoja Yuko mbioni kumfungulia mmoja katk wa ma mc kesi ya udhalilishaji aliyofanyiwa alipo udhuria katk moja Kati ya shere zilizo fanya week iliyopita ,dada amenifata nakuniomba nimtafutie wakili mzuri au msomi awez kumsadia kuhandle kesi yake aliyo dhalilshwa na mmoja ktk ya mc wa hapo dsm ,nimemshauri aende kwa pascal Pascal Mayalla au kwa jebra kambole

Nilimuuliza kuwa je hao mc walikuomba kuwa watapost picha zako wakt wa kuserebuka ,akasema hapn anachojuwa. Yey alicheza na kuserebuka ila anashanga siku inayofata ametrend kwenye mitandao ya kijamii kitu ambacho kimemuudhi San mchumba wake na Hadi kupelekea kuachana .kwa kuwa picha zile siyo nzuri San Hivyo limempelekea mchumba wake kumuambia kuwa Ni mdangaji tu wala siyo mkee Wala wife material .


Baadh ya picha ila mlalamikaji siyo mmoja ktk hao niliweza kuscreen shotView attachment 2396260View attachment 2396261View attachment 2396262
 
Screenshot_20221024-114527.png
Screenshot_20221024-114455.png
Screenshot_20221024-114222.png
 
Back
Top Bottom