aisee unajua siku ile nilikuwa na dili ta na dili tatuuuu, ikabidi niende kuendesha shuguli ya selehe ya arusi ya bwana Mushiii aliyekuwa amenipa lakin lakinneee. nilijua nitawesa fanikisha zote mbili bwanaaa alafu kule kwenye arusi ya kwansa nije badaye kama saa mbili na nusu ivi...bahati mbaya au mzuriii nikakuta kule kwa mushiiii kuna pombe nyingi kweriiii, nikajisahau, badaye rafikyanguu Eliakimu alinistua wakati stim zimeshapanda na arusi imepita, pesa nilishachukua...ikabidi ni fanyeje ujueee nizimesiii nizime simu babaaaa. thamahani rakini kwa usumbufu niliousababishaa, kwaheriiii.