Mbwana Samatta kumuona Lissu?

Mtafanya asiende hata kama alikuwa na nia ya kwenda kutokana na kufanya Siasa hata pasipohusika!
 


Huu sasa ni upuuzi, yeye Lissu kaenda kule kutafuta kick, Samatta yuko kule kikazi na si kisiasa. Mimi kama Samatta wala siendi kumtembelea Lissu hata akiniita nitakataa kwa sababu Lissu ni msaliti anayeuza nchi yetu kwa manufaa yake binafsi, hamjali Samatta wala Mtanzania yeyote bali yeye mwenyewe. Alikuwa anawapigia debe jamaa wa migodi waishitaki serikali ya Tanzania ili naye (Lissu) apate mabilioni yake, jamaa wa migodi wakanywea baada ya kupewa data zote walizonazo serikali na kukubali kuilipa serikali Lissu akakasirika na kuja na hoja zingine za kijinga. Achana naye akatafute kick za kipuuzi huko Ulaya.
 
watu wengine mnahitaji kuhurumiwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…