GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,706
- 128,214
- Thread starter
-
- #21
Agreed !
Tena asali sana pia maana huu umri anaosema anao ukipiga hesabu alipokuwa Lyoni na Simba data zinagongana !!
Mbona ozil huwa anapiga picha miguu yake ikiwa na soksi huku anacheza game ya mpira geto kwake af anakula malike millioni, makoment laki9, mbona fresh tu.
Cristiano Ronaldo anaweka picha kila muda na kufanya mambo mbalimbali nje ya soka na bado anapafomu. Karim Benzema vivyo hivyo. Wachezaji kikapu na football wa US ndio usiseme na Bado wanafanya vizuri. Interests za watu ni tofauti mkuu hivyo acha waishi vile wapendavyo.
On the contrary, Thabeet hakuwa muuza sura mitandaoni kama wengine wengi ila hakuwa akijituma mazoezini na ndicho kilichopelekea kushuka kwake. Ukifanya nafasi yako na kupata nafasi ya kuconnect na fans wako utakuwa sawa tu
Fanya yako, kilichomfikisha hapo ni juhudi zake yeye mwenyewe na siyo wewe, amepata Tuzo kwa huhudi zake na siyo zako, amepata timu Ulaya kwa juhudi zake na siyo zako, eti leo unataka kujifanya mshauri, kwa nini usimshauri mwanao naye afikie kama Mbwana, unapenda vlivyojengwa tu siku zote wakati anahustle TP Mazembe ulikuwa wapi kumshauri?
Acha wivu wa kike angalia maisha yako Mbwana hakuhitaji kwa chochote ana watu wakutosha waliokuwa naye tangu day one alivyoanza hustle!
Mtoa mada ushauri wako ni mzuri sana,Samata ameingia kwenye level nyingine ya Soka,anatakiwa ajikite zaidi kwenye kilichompeleka,Akiperform vizuri media zenyewe ndio zitamtafuta na kumpiga picha kwenye kila movement yake badala ya sasa yeye ndio anazitumia blog picha zake kama mleta mada alivyosema,
huwezi mlinganisha Samata na wanachokifanya kina Messi,Ronaldo au Benzema! wale wanacheza soka la Ulaya miaka kibao na wanalijua,pia wapo level nyingine sio level ya Samata,
tatizo humu jf kuna watu huwa wanafuata mkumbo tu,mtu mmoja hasa mtoa comment wa mwanzo kabisa akiiponda mada basi wengine hutiritika nao kuponda tu kwa kufuata mkumbo! Mtoa mada ushauri wako umemlenga Samata na nina imani akiupata atautafakari na kujitafakari,hawa wanaokukejeli wali wasikuvunje moyo,kama kweli ungekuwa unamuonea wivu Samata ungewezaje kumshauri vitu vyenye manufaa kwake?
Kumbukeni Samata ni kama analiwakilisha taifa so kumshauri ni vizuri na sio kitu kibaya.
We zitakuwa zimekuruka unalinganisha mchezaji wa real madrid na Genk ambayo kwa ulaya ni timu ya kawaida...
Naona unaanzisha Uzi kwa ID moja then unakuja na IDs nyingine kujijibu na kujisifia.Mtoa mada ushauri wako ni mzuri sana,Samata ameingia kwenye level nyingine ya Soka,anatakiwa ajikite zaidi kwenye kilichompeleka,Akiperform vizuri media zenyewe ndio zitamtafuta na kumpiga picha kwenye kila movement yake badala ya sasa yeye ndio anazitumia blog picha zake kama mleta mada alivyosema,
huwezi mlinganisha Samata na wanachokifanya kina Messi,Ronaldo au Benzema! wale wanacheza soka la Ulaya miaka kibao na wanalijua,pia wapo level nyingine sio level ya Samata,
tatizo humu jf kuna watu huwa wanafuata mkumbo tu,mtu mmoja hasa mtoa comment wa mwanzo kabisa akiiponda mada basi wengine hutiritika nao kuponda tu kwa kufuata mkumbo! Mtoa mada ushauri wako umemlenga Samata na nina imani akiupata atautafakari na kujitafakari,hawa wanaokukejeli wala wasikuvunje moyo,kama kweli ungekuwa unamuonea wivu Samata ungewezaje kumshauri vitu vyenye manufaa kwake?
Kumbukeni Samata ni kama analiwakilisha taifa so kumshauri ni vizuri na sio kitu kibaya.
Huwa napenda AKILI kama hizi na siyo za hao WAPUUZI wengine wenye MAONO mafupi. Yaani mtu ukitokea tu KUMSHAURI Celeb fulani basi unaonekana unamwonea WIVU au GERE. Huu ni USHAMBA wa wapi? Asante sana mkuu kwa KUNIFURAHISHA na kuelewa NILICHOKIANDIKA hapo kuhusu Mbwana Ally Samatta na huo ndiyo MCHANGO wangu kwake na sina kingine cha kumpa. Akinisikia sawa na asiponisikia vile vile sitojali lakini TUMEONA mifano mingi na kuna watu sasa WANAUMBUKA na ni MASIKINI baada ya KUFULIA kwa KUDHARAU tu mawazo ya Watu wenye MITAZAMO ya mbali.
Wachezaji wa Madrid wanatumia matak.o kucheza mpira! Kama ni miguu majukumu yao ni yale yale na kujitumia ndio kunapelekea mtu kusonga mbele au kushindwa. Ricardo Kaka kacheza Madrid bado aliangukia pua japo hakuwa na mbwembwe, so soka au mchezo wowote ule hauondoi interests za mtu za nje ya uwanja na kama ukijituma na kuwa na displine utafanya vizuri tu. Huwezi lazimisha watu waishi kwa maono yakoWe zitakuwa zimekuruka unalinganisha mchezaji wa real madrid na Genk ambayo kwa ulaya ni timu ya kawaida...
Acha kuwa na fikra za kizamani,nimechangia kama member wa jf,kama wewe ulitaka member wote wa jf wampinge mleta mada hilo litakuwa ni tatizo lako binafsi kwa mleta mada.Naona unaanzisha Uzi kwa ID moja then unakuja na IDs nyingine kujijibu na kujisifia.
Hapo hapo na mimi nakuomba mkuu fananisha makuzi na malezi ya Kisoka ya Mesut Ozil wa nchini Ujerumani ( ULAYA ) katika mji maarufu wa Munich na makuzi na malezi ya Kisoka ya Mbwana Samatta wa nchini Tanzania ( AFRIKA ) katika kitongoji maarufu cha Mbagala na Kimbangulile kisha urudi unipe TATHMINI yako.
Mkuu umeongea kitu cha maana sana! Natamani wote wale wanaopenda kuanzisha thread waisome comment yako.Mkuu inawezekana una point nzuri sana
Ila una tatizo la kutotaka changamoto hakuna taaluma yoyote iliyowahi kupokelewa bila kupewa changamoto na madhaifu sembuse mawazo ya mtu mmoja?!
Labda ukubali pale mtu anapoichallenges hoja yako hata kama ni kwa pumba ijibu possitive unless otherwise labda wewe ni Le Mutuz uanze kublock kila anayekuchalenge kitu ambacho ni upuuuuzi!
Wachezaji wa Madrid wanatumia matak.o kucheza mpira! Kama ni miguu majukumu yao ni yale yale na kujitumia ndio kunapelekea mtu kusonga mbele au kushindwa. Ricardo Kaka kacheza Madrid bado aliangukia pua japo hakuwa na mbwembwe, so soka au mchezo wowote ule hauondoi interests za mtu za nje ya uwanja na kama ukijituma na kuwa na displine utafanya vizuri tu. Huwezi lazimisha watu waishi kwa maono yako
Naona unataka mabishano basi ngoja tubishane; relating to hii mada niambie kwanini Kaka hukufanya vizuri Madrid na kwanini CR7, Benzema na Neymar wanafanya vizuri ilhali wauza sura. Keep in mind it should be topic relatedUnajiona umeongea point saaaaana...Hivi unajua sababu za kaka kutokufanya vizuri madrid
Lifestyle na picha Ni vitu viwili tofauti. Kuna watu wanapenda picha ila ni very focused, again Cr7, hakuna kocha anayepinga work ethic ya CR7 lakini ni mpenzi wa picha mbaya.